Nisaidieni kumpa jina

dini gani nyie? Taja na kabila
kama ni haya people,nina azina ya majina..wasukuma na waswahili wanaita majina kama RIZIKI,HASARA,HASIRA,WIVU,GAMBOSHI,NTUJI,ASANTE,MAKOYE,NG'WANAMONIKA,NTEMINYANDA n.k
funguka dini na kabila..kama hamfuati ishu za dini wala kabila wakike muite 'SHALONI' wakiume HOPE.
 
naishukuru sana jf na zaidi zaidi jukwaa hili. Nashukuru sababu jf imenisidia kupata mke na tunatarajia kupata tunda letu la ndoa hivi kalibuni. Sasa kwa kutoa shukrani na kumbukumbu ya kumpa jina mtoto wetu tumefikiria majina yafuatayo. Kama atakuwa ni mtoto wa kiume tutampajina jamii na kama atakuwa ni wa kike tutampa jina jamia.
Hata hivyo tunatoa fursa ya wanajamii kupendekeza majina ya mtoto mtarajiwa.
Nawasilisha
mwite "shilole" kama ni wa kike!
 
Mkuu hongera sana kwa kupata mke ana kutegemea mtoto hivikaribuni.
Kama hutajali, naomba nipendekeze majina haya hapa.,

Akiwa wa kiume: Aitwe Mbimbinho
Akiwa wa Kike: Aitwe Mbimbinha

Nitafurahi sana kama mtapokea ushauri wangu...)
hayo majina yana maana gani?
 
dini gani nyie? Taja na kabila
kama ni haya people,nina azina ya majina..wasukuma na waswahili wanaita majina kama RIZIKI,HASARA,HASIRA,WIVU,GAMBOSHI,NTUJI,ASANTE,MAKOYE,NG'WANAMONIKA,NTEMINYANDA n.k
funguka dini na kabila..kama hamfuati ishu za dini wala kabila wakike muite 'SHALONI' wakiume HOPE.
Mimi ni mngoni mkristo na mke wangu ni mwislamu wa Tanga
 
Kwa tabia zetu za asili, huwa tunawaita/tunawapa watoto wetu wanapozaliwa majina ya babu/bibi zao (yaani wazazi wetu). Ndo maana majina ya ukoo huwa hayapotei! Mimi nina jina la babu mzaa baba, kaka yangu ana jina la babu mzaa mama, n.k.
Hata hivyo kuna wengine (hasa wakristo), hutumia majina ya kwenye biblia, mfano; Habakuki, Hagai, Haruni, Sarah, Anna, Hanna, Miriam, Mariam, n.k.
Kazi ni kwako!!
 
ha ha ha ha
akimwita Maufong anakula wanawake wote wa mtaa
yuha naye si ni aliyekula redio, anaongea kama clouds
vizuri sana wa kike mwite FAIZA FOXY NA KONGOSHO au MAUFONG,YUHA.YOUNG XUE,EUGEN AU EUGENIA
 
Hongera kaka.Jina wakati mwingine hutoa mwelekeo wa maisha ya mtoto.Usimwite mtoto jina lenye maana isiyokuwa na mizizi namaanisha inayoyumba.

Kwa sababu ninyi ni waswahili (watanzania) lakini wenye makabila na dini tofauti wape majina yatakayo-balance: kwa mfano kwa wa kiume AMANI wa kike UPENDO au NEEMA.Kila la kheri
 
Back
Top Bottom