Mashine imegoma kusimama siku ya tatu, naombeni ushauri

Mtani wa Taifa

JF-Expert Member
Aug 2, 2023
883
3,066
Wakuu nitawasalimia nikimaliza matatizo yangu. Ni hivi hapo majuzi nilipata mwamamke mkubwa kiumri kanizidi kama miaka 11, mimi nina 32. Nimechakatana nae vizuri na kweli mmama kaelewa show.

Sasa tatizo lilianza baada ya siki kadhaa akawa muda wote anataka kuzagamuana na kila mzagamuo ni raundi 3 kwenda mbele. Ile hali ikanipelekea kukosa stamina nikaanza kumkwepa.

Baada ya kama wiki hivi akanitumia sms akaniambia si ninajifanya najidai na boro langu basi nitaona. Nikapuuzia nikajua mbwembwe tu za kukosa kikunio.

Sasa juzi nikapata kamwanamke fulani kazuri kweli, kuingia nae lodge ile nataka kuanza kumshikashika mara kuingiza mpini ghafla abdala kichwa wazi akalala mazima, pambana sana wapi. Nikaona labda leo hali ya hewa sio nzuri maana kulikuwa na kamvua, tukaghairi show.

Sasa tatizo limekuwa kubwa baada ya jana kupata dem mwingine mwanafunzi wa chuo, nikampeleka ghetto, piga sana finger lamba lips mpaka mtoto akataka mic atume salam, kumpa mic sauti haitoi yaani mashine imelala kabisa kama niko kwenye interview. Hapo ndio nikakumbuka maneno ya yule mmama. Sasa naombeni ushauri wakuu nisaidieni nifanye nini mashine haitaki kuwaka hata dalili haina.

Nawasalimu kwa jina la JF.
 
Wakuu nitawasalimia nikimaliza matatizo yangu
Ni hivi hapo majuzi nilipata mwamamke mkubwa kiumri kanizidi kama miaka 11, mimi nina 32. Nimechakatana nae vizuri na kweli mmama kaelewa show. Sasa tatizo lilianza baada ya siki kadhaa akawa muda wote anataka kuzagamuana na kila mzagamuo ni raundi 3 kwenda mbele. Ile hali ikanipelekea kukosa stamina nikaanza kumkwepa.

Nawasalimu kwa jina la jf.
nipe namba zake
 
mtafte uyo maza mzee.
 
Back
Top Bottom