nisaidieni jamani kutafuna kwangu ni ndoto,eeh mungu nisaidie

BLISS

Member
Mar 31, 2011
54
12
jamani naombeni mnijulishe dawa ya meno naumwa na meno yote kinywani yaani hayataki kutafuna kitu najaribu kupiga mswaki but sipati nafuu sielewi ni nini tatizo, maana yako 2 yaliotoboka lakini nashangaa yanauma yote sielewi ni ugonjwa gani, wataalamu naomba mnishauri dawa itakayoweza kunisaidia,

mbarikiwe
 
Nashauriungechukua hatua uende kwa dakatari mzoefu na mtaalam wa meno atakupa ushauri na jambo la kufanya kunusuru meno yako,ila pia wataalam wa miti shamba wanaweza kukusaidia kuutatua tatizo lako;nilimsikia Dr Dondi akishauri kusukutua meno yako kwa kutumia matunda flani ya porini inaitwa 'ndulele' [sijui kama inaandikwa hivvyo] pamoja na limau baada ya kuswaki usiku kabla ya kulala,alaishauri baada ya kusukutua na hayo maji yenye mchanganyiko huo,usisukutue na maji haya ya kawaida,fanya hivyo kila siku mpaka utakapojisikia ahueni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom