MALI YA BABA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 459
- 119
Habari za mapumziko wakuu! kuna binti nampenda sana lakini anasema kwa sasa haitaji mwanaume yeyote kwani ndo kwanza hata maumivu ya moyo wake hayajapona kwahiyo namkumbusha machungu2 na hawaamini tena wanaume kwani wote ni tabia moja nimejaribu kumwelesha lakini wapi nimemwambia kila namna hataki kunielewa na anakuwa mkari sana anasema huyo mwenzako alikuwa analia kabisa wewe maneno2 hayo nikaishiwa pozi kabisaa! ila kiukweli nampenda sana huyu binti sasa nifanyaje wakuu hapa na anasema kama namtumia sms nisimwambie huo ujinga! Naombeni maujanja hapa jamani ila binti nampenda sana jamani.