Nisaidieni hapa jamani.

MALI YA BABA

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
459
119
Habari za mapumziko wakuu! kuna binti nampenda sana lakini anasema kwa sasa haitaji mwanaume yeyote kwani ndo kwanza hata maumivu ya moyo wake hayajapona kwahiyo namkumbusha machungu2 na hawaamini tena wanaume kwani wote ni tabia moja nimejaribu kumwelesha lakini wapi nimemwambia kila namna hataki kunielewa na anakuwa mkari sana anasema huyo mwenzako alikuwa analia kabisa wewe maneno2 hayo nikaishiwa pozi kabisaa! ila kiukweli nampenda sana huyu binti sasa nifanyaje wakuu hapa na anasema kama namtumia sms nisimwambie huo ujinga! Naombeni maujanja hapa jamani ila binti nampenda sana jamani.
 
dont force her, nenda nae hivohivo taratibu usikate tamma and one day atakubali
 
Mwache a"heal broken heart,halafu fahamu attraction has no choice usilazimishe kupendwa ni kutokujitambua.
 
usiishie tu kumwambia kuwa unampenda,muonyeshe hivyo. Halafu mpe muda wa kuponya majeraha yake,whats the hurry?
 
wengine hadi uwang'ang'anie sana ndo wanakubali,
jaribu hiyo,ukiona haeleweki,achana naye,usimforce
 
Anahitaji muda; kama kweli wampenda be there for her bila kumfanya kuwa pressured! Be a friend n a shoulder when she needs a good cry. Najua ni ngumu na si utamaduni wa mbongo, lkn it is the only way!
 
Wewe wampenda au wamtamani? Mwemzio keshaumwa na nyoka hata jani analiogopa. Inaelekea hutaki kumpa uhuru na faragha ya kuuguza moyo wake uliopondeka. Kama kweli wampenda na si kumtamani, usimsumbue kwa kumkumbushakumbusha unavyojisikia. Kaa kimya mpe muda na mheshimu.Uliyomweleleza anayo kichwani mwake anayaprocess polepole. Kwa hiyo vuta subira mambo yatakunyookea kapteni wangu. Ila nakuachia hili neno. Moyoni mwako wampenda au wamtamani? Kama wamtamani achana naye tafuta macd wamejaa kibao watamaliza kiu yako.
 
Hapana sijamtamani HYGEIA nampenda sana ila kukaa kimya isije kuwa hatari tena ndo akanisahau kabisa na mimi! kumweshimu sawa namweshimu
 
Hapana mkuu c kulazimisha ila sasa ukifanya kuacha kila mwanamke ayekuambia hataki unafikiri itakuwaje?
 
Ckia jo, muambie then muache afikirie dont force utakuja lia bda
Dont call people into loving you,dont call people into staying with you what you need to do is TO LET IT GO, wapo wengi jo
 
Na wewe jifunze kulia, tena muonyeshe wewe unalia kuliko yule wa mwanzo.

Inawezekana huyo mpaa aone mwanaume analia, ndo anamuonea huruma.
 
Na wewe jifunze kulia, tena muonyeshe wewe unalia kuliko yule wa mwanzo.

Inawezekana huyo mpaa aone mwanaume analia, ndo anamuonea huruma.
Ila kulia ni hisia kali fazaa hadi utoe chozi ni kazi
 
yule wa mwanzo alikuwa analia wakati anamtongoza or wakati wa game...? just curious maana hiyo nayo yaweza kuwa mbinu nzuri ya kumtokea/kumkoleza mtu!
 
Ila kulia ni hisia kali fazaa hadi utoe chozi ni kazi
Wewe naye lazima ujifunze skills, mimi naweza kujiliza wakati silii na machozi ya katoka...wewe hujui kucheka pia kunatoa machozi.


Yani jidai unalia lakini huku kindani ndani unacheka uone kama chozi halitoki.
 
Back
Top Bottom