Nisaidieni facebook inanisumbua!!!!

mchajikobe

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
2,652
1,238
Naombeni msaada wa haraka wataalam humu jamvini,kila nikitaka kulog in kwenye facebook account yangu inalog in lakini baada ya kama dakika moja page ya facebook inapotea na kufunguka Tesco.com,sielewi ni kwanini inanitokea hivyo na siwezi ku access face book karibu wiki sasa!!!Tatizo ninini wajuzi??
 
Ngoja nikushike sikio kidogo, yaani hapa na hiyo Facebook ni vitu viwili tofauti, wanaipondaga,
namaanisha watakurukia hadi basi. Pole lakini.
 
hackers watakua washakutembelea kwenye account, kama vipi jaribu ku log in then badilisha paswed fasta mchajikobe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom