Midavudavu
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 287
- 59
Nabebwa wakati wa kwenda kuoga, maji ya kuoga yana hiriki, nabebwa baada ya kurudi kuoga, napakwa mafuta nikwa nimelela kitandani baada ya kuoga, napewa kila ninachota na sijawahi kutukanwa, navalishwa na kulishwa yaani nina raha mimi. Natamani nisiende kazini nishinde ndani. Nikiwa kazini nawaza huduma zake tu. Mungu anipe nini mie jamani?