Nipeni urais, jengo la bunge mnadani

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,142
Kwa hili sitanii kabisaa, mkinipa Urais Jengo la Bunge Dodoma niliweka mnadani otherwise nitalitafutia matumizi mengine!! Ni bahati mbaya sana kwamba sijui idadi kamili ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, lakini am sure hawapungui 250! Now let's take deep breath. Tuseme bunge litakaa miezi miwili, i.e. 56 days. Kwa wastani tuseme wamehudhuria wabunge 200 kwa kipindi kizima cha bunge!! Nasikia posho ya wakati wa vikao vya bunge ni Sh. 100,000. 00 kwa siku! Therefore kwa kipindi chote ni : 200x 100,000.00 = 1,120,000,000/. Hapa manake ni kwamba ikiwa watahudhuria wabunge 200 basi watatafuna kodi cha wananchi kiasi cha shilingi Bilioni Moja na Milioni Mia Moja Ishirini. However, ukiangalia sana labda kwa wastani Kila Mbunge atakuwa anauliza maswali matano kwa kipindi Kizima cha Bunge!! Anyway, tufanye Kila Mbunge ameuliza maswali KUMI kwa msimu mzima. This means that Ni siku Kumi Tu ndizo alilazimika kuwa bungeni ili kuwasilisha swali lake! Out of 56 days, 46 days anaenda bungeni kupiga soga na kupiga makofi!! Mkinipa urais, hakutakuwa na muda wa kupiga soga bungeni!! Naamini wastani wa maswali 10 unatosha kabisa kwavile kuna wengine hata hilo moja hawaulizi!! Hivyo basi, kila mbunge atakuja Bungeni siku zile tu ambazo ana maswali anayotaka kujibiwa ikiwa na kuuliza maswali ya nyongeza. Kwahiyo, kutoka kila mbunge tutaokoa siku angalau 40, ambazo monetary value yake ni:
200 x 100,000.00x 40 = 800,000,000/. Siku zizizobaki atabaki nyumbani na kusikiliza kupitia redioni/runingani na akitaka kuja bungeni aje kwa gharama zake!! In addition, kwa wastani ni wabunge 25 tu ndio huchangia hoja au kuuliza maswali kwa kila session! Kumbe jengo la watu wasiozidi mia moja linatosha kabisa ku-accomodate hawa wabunge na wageni! Kwavile watoa hoja hawazidi 50 kwa siku, basi jengo langu la bunge litajengwa kwa kuzingatia idadi ya wabunge wanaotakiwa kuwepo bungeni kwa siku. Lililopo ni kubwa mno, hivyo nitalitia mnadani!!
POSSITIVE IMPACT: Naamini jambo hili litasaidia mambo yafuatayo:
1. Maprofesa na Madaktari waliojazana bungeni watapungua na kwenda kuzitumikia taaluma zao.
2. Kwavile kwa siku kutakuwa na idadi ndogo tu ya wabunge basi hatuna haja ya kuwa na mjengo mkubwa. Uliopo tutauingiza sokoni na pesa zitakazopatika tutazipeleka Loan Board
3.Tutakuwa tumeokowa kiasi kikubwa sana cha pesa.

Najuwa kuna mapungufu lakini nitakaa na wataalamu wangu ili jambo hili tulifanikishe vizuri!
 
Du ni sh 100,000 kwa siku kwa mbunge ina maana kwa siku 56 ni sawa na

wabunge 200 X 100,000 X 56 = 1,120,000,000

Kweli Tanzania ni nchi tajiri sana
 
Kweli Tanzania ni nchi tajiri sana[/QUOTE]

of course yes Tanzania ni nchi tajiri sana tena sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Du ni sh 100,000 kwa siku kwa mbunge ina maana kwa siku 56 ni sawa na

wabunge 200 X 100,000 X 56 = 1,120,000,000

Kweli Tanzania ni nchi tajiri sana

Tena ni super millionaire
 
Ni kweli kabisa,
Tunatumia resources zetu vibaya, badala ya Professors wetu kukaa kwenye accademic institutions wakatumia taaluma zao kwa kuelimisha jamii, wanakaa bungeni halafu hawachangii chochote!!!!!!!!!
 
Mkuu wangu, with all due respect, acha utani. Kuna jamaa aliwahi kuahidi kama weye kwamba atauza sijui nini, nyumba ya hudhurungi!? Whatever he promised! Lakini, waaapi! Kaishia kusema tu ati hafukui makaburi. Usituache kwenye mataa mkuu.
 
Kwa hili sitanii kabisaa, mkinipa Urais Jengo la Bunge Dodoma niliweka mnadani otherwise nitalitafutia matumizi mengine!! Ni bahati mbaya sana kwamba sijui idadi kamili ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, lakini am sure hawapungui 250! Now let's take deep breath. Tuseme bunge litakaa miezi miwili, i.e. 56 days. Kwa wastani tuseme wamehudhuria wabunge 200 kwa kipindi kizima cha bunge!! Nasikia posho ya wakati wa vikao vya bunge ni Sh. 100,000. 00 kwa siku! Therefore kwa kipindi chote ni : 200x 100,000.00 = 1,120,000,000/. Hapa manake ni kwamba ikiwa watahudhuria wabunge 200 basi watatafuna kodi cha wananchi kiasi cha shilingi Bilioni Moja na Milioni Mia Moja Ishirini. However, ukiangalia sana labda kwa wastani Kila Mbunge atakuwa anauliza maswali matano kwa kipindi Kizima cha Bunge!! Anyway, tufanye Kila Mbunge ameuliza maswali KUMI kwa msimu mzima. This means that Ni siku Kumi Tu ndizo alilazimika kuwa bungeni ili kuwasilisha swali lake! Out of 56 days, 46 days anaenda bungeni kupiga soga na kupiga makofi!! Mkinipa urais, hakutakuwa na muda wa kupiga soga bungeni!! Naamini wastani wa maswali 10 unatosha kabisa kwavile kuna wengine hata hilo moja hawaulizi!! Hivyo basi, kila mbunge atakuja Bungeni siku zile tu ambazo ana maswali anayotaka kujibiwa ikiwa na kuuliza maswali ya nyongeza. Kwahiyo, kutoka kila mbunge tutaokoa siku angalau 40, ambazo monetary value yake ni:
200 x 100,000.00x 40 = 800,000,000/. Siku zizizobaki atabaki nyumbani na kusikiliza kupitia redioni/runingani na akitaka kuja bungeni aje kwa gharama zake!! In addition, kwa wastani ni wabunge 25 tu ndio huchangia hoja au kuuliza maswali kwa kila session! Kumbe jengo la watu wasiozidi mia moja linatosha kabisa ku-accomodate hawa wabunge na wageni! Kwavile watoa hoja hawazidi 50 kwa siku, basi jengo langu la bunge litajengwa kwa kuzingatia idadi ya wabunge wanaotakiwa kuwepo bungeni kwa siku. Lililopo ni kubwa mno, hivyo nitalitia mnadani!!
POSSITIVE IMPACT: Naamini jambo hili litasaidia mambo yafuatayo:
1. Maprofesa na Madaktari waliojazana bungeni watapungua na kwenda kuzitumikia taaluma zao.
2. Kwavile kwa siku kutakuwa na idadi ndogo tu ya wabunge basi hatuna haja ya kuwa na mjengo mkubwa. Uliopo tutauingiza sokoni na pesa zitakazopatika tutazipeleka Loan Board
3.Tutakuwa tumeokowa kiasi kikubwa sana cha pesa.

Najuwa kuna mapungufu lakini nitakaa na wataalamu wangu ili jambo hili tulifanikishe vizuri!
Gombea mkuu...
 
Wabunge ni 500+ hiyo ya 250+ ni wa ccm pekee,hapo bado upinzani,bado wawakulishi jumla wapo 500+
 
Kuna kaukweli Fulani..ila kwakua unalenga kuvuruga ridhiki za watu,kumbuka kuna watumishi wengine wasio wabunge..basi ngoja waje...
 
Hatuta Kuchagua Maana Tuta Rekebisha Sheria ya Uchaguzi ya Mwaka 2020 Mgombea U Rais ni Lazimwa apimwe akili ''Mental Disorder'
 
Ni kweli kabisa,
Tunatumia resources zetu vibaya, badala ya Professors wetu kukaa kwenye accademic institutions wakatumia taaluma zao kwa kuelimisha jamii, wanakaa bungeni halafu hawachangii chochote!!!!!!!!!
Wanaenda kusinzia tu hovyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom