Nipeni ukweli wa hili enyi walimu wa Tz

TAWA

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
3,667
1,566
MPYA
TGTS A1 346,000
TGTS B1 394.000
TGTS C1 582,500
TGTS D1 639,000
TGTS E1 819,000
TGTS F1 1,053,000
TGTS G1 1,370,000
TGTS H1 1,784,000
TGTS I1 2,465,000, Hii ndio mishahara mipya iliyotokana na mjadala wa miaka karibu 5 kat ya CWT NA SERIKALI Inaanza kutumika Julai,2014. By MWL OLUOCH - KKM-CWT.J'pili njema :
 
serikali ya chama chakavu haina uwezo huo,walimu tuungane pamoja kuitokomeza!
 
Hii yaarifa hii!! Mh! Kwanza ilitungwa sijui na nani, hakuna kitu kama hicho. Rate zilizopo na za uhakika ni hizi
 
Attachments

  • Screenshot_2014-04-09-17-04-56.png
    Screenshot_2014-04-09-17-04-56.png
    27.1 KB · Views: 805
Hii yaarifa hii!! Mh! Kwanza ilitungwa sijui na nani, hakuna kitu kama hicho. Rate zilizopo na za uhakika ni hizi

we nae ndo umejichanganya baraha...kwa taarifa yako hyo mishahara yako unayosema ndo mipya watu wanaipokea tangu kitambo....ata wale walimu wapya ndo wamepoke hyo tangu waingie shulen
 
MPYA
TGTS A1 346,000
TGTS B1 394.000
TGTS C1 582,500
TGTS D1 639,000
TGTS E1 819,000
TGTS F1 1,053,000
TGTS G1 1,370,000
TGTS H1 1,784,000
TGTS I1 2,465,000, Hii ndio mishahara mipya iliyotokana na mjadala wa miaka karibu 5 kat ya CWT NA SERIKALI Inaanza kutumika Julai,2014. By MWL OLUOCH - KKM-CWT.J'pili njema :

nimeongea na olouch amekana kuhusu hii taarifa kwamba siyo ya kwake. huu ni umbea umeleta hapa. jipange upya
 
hio sms imesambaa toka mwezi machi! lakini hadi leo haina ukweli! tusubiri mwezi wa julai kitaeleweka tu! kama ilikuwa ni ya kutuliza watu tu ama?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom