Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,929
- Thread starter
- #121
Haaaaa!unafikiri ningechukua hatua gani nzuri zaidi kwa mpuuzi km yule?ashukuru mungu tukio lile lilinichanganya inawezekana ningemuadhibu zaidi ya mamkofi!Nashukuru sana mkuu (kipimaPembe), maana nimeperuzi sana nakutana na lawama tu kwa huyu jamaa. At least wewe umeonyesha benefit of doubt...
Binafsi namtetea kwa asilimia 80. Namlaumu kwa asilimia 20...
Na wewe Cantalasa nakulaumu kwa asilimia 75, maana ungekuwa na busara usingeruka kumchapa kibao baba wa watu...