Nipeni pole,wakaka/wababa nisaidien kujua 7bu ya baadhi yenu kufikia kufanya upuuzi

Nashukuru sana mkuu (kipimaPembe), maana nimeperuzi sana nakutana na lawama tu kwa huyu jamaa. At least wewe umeonyesha benefit of doubt...

Binafsi namtetea kwa asilimia 80. Namlaumu kwa asilimia 20...

Na wewe Cantalasa nakulaumu kwa asilimia 75, maana ungekuwa na busara usingeruka kumchapa kibao baba wa watu...
Haaaaa!unafikiri ningechukua hatua gani nzuri zaidi kwa mpuuzi km yule?ashukuru mungu tukio lile lilinichanganya inawezekana ningemuadhibu zaidi ya mamkofi!
 
Pole. Haya mambo yanatokea sana. Huyo baba alishikwa na mfadhaiko wa akili. Hii hutokea mtu akishindwa kuji - control kutokana na kuwaza/kutamani ngono. Tabia ya kushindwa kuji- control hupelekea watu kubaka hata binti zao au wanyama wanaowafuga.
Sasa si umwehu huo!watadhalilika milele!
 
Pole maa! Wote wanaofanya hivyo ni wagonjwa wanahitaji kutibiwa kama wagonjwa wa mfadhaiko, kuwapa mob justice si kuwasaidia bali kuwaumiza zaidi. Hata kuwafunga jela si suluhisho wanahitaji matibabu na mara nyingi uwezekano wa kupona ni mkubwa kiasi.
Way 2006 kuna mmoja alinichafua kabisa pajani na sp...! Tulikuwa kwenye daladala la Mwananyamala - Posta. Alishukia pale kinondoni Muslim, sikumuambia mtu nilikaa kimya as nilikuwa najua hawa ni wagonjwa. Yeye alichafuka sana, nilijua nikisema wangempiga halafu ni Kinondoni! Nilifika chuo na kuomba jeans ya jirani basi na kuwasimulia yaliyonikuta. Nakumbuka alikuwa mkaka handsome sana kavaa miwani yake poa kabisa na smart attire.
 
Nilisema kwenye bandiko langu hapo nyuma kuwa kina dada wengine wanaona na wanaachia hadi jamaa anamaliza kabisa - Mara nyingi akishamaliza anashuka mara moja. Anaweza kuomba hata kituo cha msaada. Wadada wengine wanapenda kabisa na akishahisi kuna kitu kinamgusagusa na ni kitu laini, basi anajiachia zaidi. Ndo maana haya yanaendelea kwa sababu kuna case nyingi ambapo watu hawa humaliza bila mgogoro kabisa na wanashuka zao salama!!

Huyo kaka wa kwenye case hiyo niliyorudufu hapa lazima kuna siku atarudia tena; na tena ikiwa hata stukiwa. Hata siku akistukiwa ataona ni bahati mbaya tu ila wapo ambao maisha yao ndo hayo hayo!!
 
Pole sana...........ni balaa na itia kichefu chefu kwa kweli , naongea with experience kwani ishamtokea wife kwenye daladala za Tandika - Sinza! Nadhani hawa watu wanajiendekeza na uhayawani huo kama ulivyo uppuzi mwingine kwa sababu inaoneka kabisa huchagua victims wao na wanahakikisha wamefanikisha kuuufanya huo uchafu jambo inaloonyesha kuwa ni mpango maalum, hivyo nawaondoa kutoka kundi la watu wenye matatizo ya kiakili..........asiye nakili hawezi kuplan namna hii; ikiwa na kuchagu muda na mtu yaani mazingira ya kufanikisha uchafu wenyewe................ulikosea kumwacha aende............hakika huyo ungelimchukulia hatua afungwe na kuaibishwa kwani kwa kumuacha aende umefanya kosa lilofanya wife ............yaani mumeongeza victim mwingine! kwani jua fika hataishia hapo kwako atajaribu kwingine na kwa mtu mwingine wakati atakaochagua yeye!
 
Pole maa! Wote wanaofanya hivyo ni wagonjwa wanahitaji kutibiwa kama wagonjwa wa mfadhaiko, kuwapa mob justice si kuwasaidia bali kuwaumiza zaidi. Hata kuwafunga jela si suluhisho wanahitaji matibabu na mara nyingi uwezekano wa kupona ni mkubwa kiasi.
Way 2006 kuna mmoja alinichafua kabisa pajani na sp...! Tulikuwa kwenye daladala la Mwananyamala - Posta. Alishukia pale kinondoni Muslim, sikumuambia mtu nilikaa kimya as nilikuwa najua hawa ni wagonjwa. Yeye alichafuka sana, nilijua nikisema wangempiga halafu ni Kinondoni! Nilifika chuo na kuomba jeans ya jirani basi na kuwasimulia yaliyonikuta. Nakumbuka alikuwa mkaka handsome sana kavaa miwani yake poa kabisa na smart attire.
Asante morio,nashukuru mungu nilimuwahi na hakufanikiwa ubazazi wake,pole na ww mwaya!
 
Pole sana...........ni balaa na itia kichefu chefu kwa kweli , naongea with experience kwani ishamtokea wife kwenye daladala za Tandika - Sinza! Nadhani hawa watu wanajiendekeza na uhayawani huo kama ulivyo uppuzi mwingine kwa sababu inaoneka kabisa huchagua victims wao na wanahakikisha wamefanikisha kuuufanya huo uchafu jambo inaloonyesha kuwa ni mpango maalum, hivyo nawaondoa kutoka kundi la watu wenye matatizo ya kiakili..........asiye nakili hawezi kuplan namna hii; ikiwa na kuchagu muda na mtu yaani mazingira ya kufanikisha uchafu wenyewe................ulikosea kumwacha aende............hakika huyo ungelimchukulia hatua afungwe na kuaibishwa kwani kwa kumuacha aende umefanya kosa lilofanya wife ............yaani mumeongeza victim mwingine! kwani jua fika hataishia hapo kwako atajaribu kwingine na kwa mtu mwingine wakati atakaochagua yeye!
Asante Maskin jeuri,unajua kinachotokea ni kuchanganyikiwa na tukio lenyewe kiasi kwamba unajikuta umeshindwa kuchukua maamuzi sahihi ya kumuadhibu yule mtu,ila km unavyosema inawezekana ni makusudi na wanakuwa na mpango kwann wasubiri kufanya upuuzi wao ndani ya basi lililojaa sn na wasing'ang'anie tu hata wapita njia km kweli ni ugonjwa?naungana na ww kbs hawa wanaamua makusudi kbs,ila ipo siku ataadabishwa mmoja na wote watapata habari yake.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom