Nini manufaa ya bunge la wanafunzi

Rubi

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
1,615
326
Habari wanajamii. Huwa mara chache nafuatilia mahojiano ya wanafunzi wa shule mbalimbali za Sekondari nchini katika Bunge la Wanafunzi. kipindi hiki huwa kinarushwa na TBC1 kila Jumapili.

Kwa kweli baadhi ya hoja ni nzuri na za msingi pamoja na kuwa pia kipindi hiki kinapima uwezo wa mwanafunzi kujieleza na kuchanganua mambo mbalimbali. Sasa swali langu ni kuwa haja zinazojadiliwa hapo na kupitishwa ni kweli zinafanyiwa kazi au ni basi tu.
 
Back
Top Bottom