Nini Madhara ya Weed(bhangi)

sasa wewe mutu ya famasi unashauri itumike kwa kiasi siyo ili isifikie hiyo stage?
mia. mia.

pia inasemekana inapunguza maumivu ya wajawazito wakati wa kujifungua lakini iz not recommended kwavile asari zake ni nyingi kuliko faida, miongoni mwa athari hizo ni :- moshi unaweza ukamfikia mtoto tumboni halaf mtoto akazaliwa huku anacheza kiduku na kucheka bila sabab za msingi. kuna suala la nyongeza?
 
hahahhah du anacheza kiduku.mia.
 
mia. mia.

pia inasemekana inapunguza maumivu ya wajawazito wakati wa kujifungua lakini iz not recommended kwavile asari zake ni nyingi kuliko faida, miongoni mwa athari hizo ni :- moshi unaweza ukamfikia mtoto tumboni halaf mtoto akazaliwa huku anacheza kiduku na kucheka bila sabab za msingi. kuna suala la nyongeza?

hahaha! nilikumiss nikamiss kucheka dah! sikuwahi kufikiri kuwa inaweza kuwa na positive zake!kama inapunguza maumivu haiwezi kutumika kutengeneza over the counter drugs ikiwa itapunguzwa hizo makitu zenye hatarrrrrri? mia
 
wazo lako ni zuri kabisa mheshimiwa mbunge wa viti maalum. acha tuwasiliane na wizara husika. mia
 
Bangi ni jani lililobarikiwa na sir God. Linatumika kupunguza maumivu ya kansa, huko marekani sasa hivi wanatumia kwa prescription. Pia ukivuta inakusanua akili... jaribu kuchunguza. MBONA MASOJA WANAKULA SANA HII KITU NA SIO MACHIZI?? WAKO PEACE MPAKA UWACHOKOZE.....aaah... na wengine wamalizie bana. GANJA, WEED, KIJITI, BANGI JAH JAH BLESS....
 
Mambo vp wadau napenda kuuliza eti uvutaji wa sigara na bangi kupita kiasi unapunguza nguvu za kiume?
 
Tatizo sio Bhangi ni kuvuta Bhangi, hivyo basi kama utatumia haya majani kama mboga au ukichanganya kwenye chakula ni dawa nzuri sana....
 
Mambo vp wadau napenda kuuliza eti uvutaji wa sigara na bangi kupita kiasi unapunguza nguvu za kiume?

Ndiyo mkuu, hivyo ni vyanzo vikuu vya upungufu wa nguvu za kiume na hata ungetumia dawa gani kama unavuta sigara au bangi kamwe hutapona nguvu za kiume.
 
Hovyo Sana Apo, Umeanza Kutumia Ndo Unataka Kujipa Moyo Apa Jf Itakula Kwako Mkuu We Nengeneka Ujiponze Tu?
 
Ndiyo mkuu, hivyo ni vyanzo vikuu vya upungufu wa nguvu za kiume na hata ungetumia dawa gani kama unavuta sigara au bangi kamwe hutapona nguvu za kiume.

Ok mkuu maana tulikua tunabishana kidogo na ndugu yangu yeye ni mvutaji nikajaribu kumpa somo kdg jinsi navyoojua lkn jamaa ni mgumu wa kuelewa
 
Tyta come this wei pliiiiizzzzz

r
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom