Hmaster
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 346
- 86
Eti mwanamama ameshaishi na mmewe kwa miaka kadhaa bila kufunga ndoa na wana watoto.
Cha ajabu siku watakapoamua kufunga ndoa, ule utaratibu wao wa kitchen party unajitokeza tena.
Kama maana ya kitchen party ni mafunzo kabla ya namna ya kuishi na mume, kwa wakati huu yanakuwa na maana gani tena?
Kama zawadi si wakampelekee ukumbini?