Nini Maana Yake?

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Eti mwanamama ameshaishi na mmewe kwa miaka kadhaa bila kufunga ndoa na wana watoto.

Cha ajabu siku watakapoamua kufunga ndoa, ule utaratibu wao wa kitchen party unajitokeza tena.

Kama maana ya kitchen party ni mafunzo kabla ya namna ya kuishi na mume, kwa wakati huu yanakuwa na maana gani tena?

Kama zawadi si wakampelekee ukumbini?
 
Nadhani hapo wanataka kufuata utaratibu tu wa kupitia mambo hayo kabla ya ndoa ingawa haina maana sana kwa wengine maana hakuna mantiki ya kufanyiwa kitchen party wakati unajua mambo yote ya nyumba.
Wanasema,mambo ya Ngoswe...................................!!!!!
 
halafu wanachapisha na kadi za mchango,,,,wizi mtupu
unapasha kiporo kwa vigelegele???
 
Eti mwanamama ameshaishi na mmewe kwa miaka kadhaa bila kufunga ndoa na wana watoto. Cha ajabu siku watakapoamua kufunga ndoa, ule utaratibu wao wa kitchen party unajitokeza tena. Kama maana ya kitchen party ni mafunzo kabla ya namna ya kuishi na mume, kwa wakati huu yanakuwa na maana gani tena? Kama zawadi si wakampelekee ukumbini?
Hata mi nashangaa sana, alafu unakuta ni jimama la miaka hadi 45 lina watoto wa kidato?!
 
Education is an endless process.Kufundwa ni muhimu maana wengine huwa kuna mambo mengine hawayajui.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom