Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.
Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.
Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM. Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.
Nipeni madini namna ya kupata mtu sahihi maana kwa akili yangu naona bado naumiza kichwa sana.