Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,515
- 40,623
Ni mbwembwe tu, mara nyingi sisi waafria kuna vitu tunapenda kuvikuza na havina tija, ni sawa na wengine kujiita csp, cpa n.k
Wanacheza na logic tuKuitana msomi ni common law practice, mawakili/wanasheria huitana wasomiwao kwa wao na si kwa mtu nje ya field. Na pia pia Sheria ni dynamic thus wanasheria/mawakili wanasoma muda wote ili kuwa upto date, kwenye Sheria hamna formula au prescribed procedure so they argue tofauti na walimu kuna mitaala, wanasayansi wana formulas n etc, so the term msomi eminated from there
Hata mie hili limekuwa linanitatanisha sana na kutaka kujua kwa nini inatumika kwa mawakili pekee? Kwa nini daktari haitwi daktari msomi? au mwalimu msomi?Kwani kuna Mawakili wapumbavu?
Nijuavyo mimi ukimaliza shahada ya sheria (BLL) unakuwa mwanasheria.
Ukitaka kuwa Wakili ni lazima uende LAW SCHOOL. Sasa ukimaliza Law school tukikuita WAKILI kuna shida gani?
Kwanini mnalazimisha tuseme WAKILI MSOMI?
Kwani kuna WAKILI MPUMBAVU?
Hebu ndugu zetu punguzeni ulimbukeni kidogo.
Juzi pale Hospital ya Muhimbili kwa mara ya kwanza nilikutana na DR aliyejitambulisha kwangu kama DR Msomi! Wakati mi naelewa kua Dr wote ni wasomi ndiyo maana wakaitwa Ma Dr!!Mimi sioni kama kuna shida yoyote ile.
Au Mangungu 😁
Wameanzisha miaka kama kumi iliyopita. Toka dunia imeumbwa hakukuwa na huu uhuni.Kwani kuna Mawakili wapumbavu?
Nijuavyo mimi ukimaliza shahada ya sheria (BLL) unakuwa mwanasheria.
Ukitaka kuwa Wakili ni lazima uende LAW SCHOOL. Sasa ukimaliza Law school tukikuita WAKILI kuna shida gani?
Kwanini mnalazimisha tuseme WAKILI MSOMI?
Kwani kuna WAKILI MPUMBAVU?
Hebu ndugu zetu punguzeni ulimbukeni kidogo.
Ndio maana tuna majambazi sugu na tuna vibaka wabobeziEng Msomi mara Mhasibu msomi Nchi hii Dp world wataendelea kubadilishana tu maana watu ni vichwa maji mno mno bora mazezeta..
Wabaya hata akiwa ndata NI masifa kama yote.Hiyo kada kwa Tanzania wengi ni wahaya.
Wewe ni ndugai au umetumwa na ndugaiKwani kuna Mawakili wapumbavu?
Nijuavyo mimi ukimaliza shahada ya sheria (BLL) unakuwa mwanasheria.
Ukitaka kuwa Wakili ni lazima uende LAW SCHOOL. Sasa ukimaliza Law school tukikuita WAKILI kuna shida gani?
Kwanini mnalazimisha tuseme WAKILI MSOMI?
Kwani kuna WAKILI MPUMBAVU?
Hebu ndugu zetu punguzeni ulimbukeni kidogo.
Elimu ya Tanzania ni ya maonesho, sahivi kuna CPA Rama, n.k. Mhandishi Asha ishazoeleka, bado watu wa IT, Pharmacy na wanaofanana na hao hawajapata Prefix za kuattach. Kuna Architect John and so on. Siyo elimu ya kutatua changamoto za jamii bali ya kujitambulisha.Kwani kuna Mawakili wapumbavu?