Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,887
- 2,770
Nimefikiria nikahitimisha kuwa hakuna sababu ya kumbembeleza mtu (mwanamke/me) kama hujamkosea. Kuna sababu nyingine ya kubembeleza zaidi ya hiyo?
Binafsi siamini sana katika kubembeleza bali kujali na kupenda. Mtu anayebembelezwa sana huyo hukosewa sana. Hayo ni mawazo yangu. Vipi yako.
Binafsi siamini sana katika kubembeleza bali kujali na kupenda. Mtu anayebembelezwa sana huyo hukosewa sana. Hayo ni mawazo yangu. Vipi yako.