Nini maana ya kubembeleza?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,773
2,544
Nimefikiria nikahitimisha kuwa hakuna sababu ya kumbembeleza mtu (mwanamke/me) kama hujamkosea. Kuna sababu nyingine ya kubembeleza zaidi ya hiyo?

Binafsi siamini sana katika kubembeleza bali kujali na kupenda. Mtu anayebembelezwa sana huyo hukosewa sana. Hayo ni mawazo yangu. Vipi yako.
 
Nimefikiria nikahitimisha kuwa hakuna sababu ya kumbembeleza mtu (mwanamke/me) kama hujamkosea. Kuna sababu nyingine ya kubembeleza zaidi ya hiyo? Binafsi siamini sana katika kubembeleza bali kujali na kupenda. Mtu anayebembelezwa sana huyo hukosewa sana. Hayo ni mawazo yangu. Vipi yako.
mmh mi sjakuelewa sjui. ni u ukilaza wangu tu..ni kwamba aupend kubembeleza bali wapenda kupenda?
sasa kubembeleza asi component mojawapo ya kupenda?

one way o anaza ukimpenda mtu utambembeleza tu.......may b sjui ilo pendo la kigang star kiiivo lisilo na mabembelezo....na sizan km lipo....
wknd vp?
 
Nimefikiria nikahitimisha kuwa hakuna sababu ya kumbembeleza mtu (mwanamke/me) kama hujamkosea. Kuna sababu nyingine ya kubembeleza zaidi ya hiyo? Binafsi siamini sana katika kubembeleza bali kujali na kupenda. Mtu anayebembelezwa sana huyo hukosewa sana. Hayo ni mawazo yangu. Vipi yako.

Kuwa kama wakurya
Hamna kubembelezwa
Ni ukuni tu
 
women women..
just like babiess....
kuna vitu kwenye mapenzi havi make sense but ndo vina nguvu....

why womens likes kubembelezwa ???huwezi kuelewa if u are using ur common sense...
 
one thing is for sure,if you want a lot from women you must know how to kubembeleza...hapo ndio utafaidi,....labda kwa vile tunatawaliwa na emotions zaidi...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom