Hali hii sidhani kama ni kawaida kwangu

knows

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,403
2,006
Habar wana JF,

Natumaini mko salama wote mungu anaendelea kutupigania Niende kwenye point japo sio muandishi mzuri sana ila ndo hivyo mnisamehe tu ndugu zangu.

Wakuu nina hali ambayo nahisi sio ya kawaida japo sina uwakika, kiukweli kwanza nina hali ya kutojali mimi nakujali ni tofauti lakini kwangu najihisi comfortable sana lakini hali hii inaemuumiza sana ni mwanamke wangu sababu ninaweza kaa siku nzima bila kumcheki na nikaona ni kwaida tu lakini sio tu mwanamke wangu hii hali mpaks kwa familia yangu.

Kaka yangu mkubwa alishaongea na mimi kuhusu hii hali lakini wapi akaamua kunyamaza lakin sio kwamba nafanya kusudi Hapana yaani ndo nilivyo, mimi sipendi kuongea ila nachati. Mimi nikikupigia simu jua kuna deal au kitu chochote kuhususiana na kazi basi zaidi ya hapo simu yangu huwa ni ngumu sana kuita kwa watu ndugu ndo kabsa.

Na mtu kunipigia simu kila wakati aisee sipendi Daah nachukia sana mtu kunipigia kila mara hata mwanamke wangu akinipigia simu ninaweza kujifikiria sana kupokea au nisipokee kabisa sababu najua hamalizi kuongea na mimi sipendi kuongea, yaani kiufupi sipendi mtu kunijali sana nachukia then naboeka sipendi mtu kunitafuta kila muda.

Wakuu kubembeleza mi ndo kulinipitia kushoto hii hali ndo shida sana mi sijuiagi kumbembeleza mtu na ndo nilivyo ukiunganisha na kutokujali ndo balaa, wakuu hii hali pia kama ina solution mnipatie maana kuna wakati nahiso siko sawa kutokana na hizi hali japokuwa ndo nakuwa na amani zaidi bado nawaza ni mimi tu au kunawatu pia wana hali kama yangu?
 
Habar wana jf
Natumaini mko salama wote mungu anaendelea kutupigania Niende kwenye point japo sio muandishi mazur sana ila ndoivo mnisamehe tu nduguzangu
Wakuu nina hali ambayo nahsi sio yakawaida japo sina uwakika kiukweli kwanza ninahali ya kutojali mimi nakujali ni tofauti lakin kwangu najihisi comfortable sana lakin hali hii inaemuumiza sana ni mwanamke wangu sababu ninaweza kaa siku nzima bila kumcheki na nikaona ni kwaida tu lakini sio tu mwanamke wangu hii hali mbaka kwa familia yangu kakaangu mkubwa alishaongea na mimi kuhusu hii hali lakin wap akaamua kunyamaza lakin sio kwamba nafanya kusudi Hapana yaan ndo nilinyo misipendi kuongea ila nachati mi nikikupigia simu jua kuna deal au kitu chochote kuhususiana na kazi basi zaidi ya hapo simu yangu huwa ningumu sana kuita kwa watu ndugu ndo kabsa.
Na mtu kunipigia simu kila wakati aisee sipendi Daah nachukia sana mtu kunipigia kila mala hata mwanamke wangu akinipigia simu ninweza kujifikilia sana kupokea au nisipokee kabsa sababu najua amalizi kuongea na mimi sipendi kuongea yaan kiufupi sipendi mtu kunijali saana nachukia then naboeka sipendi mtu kunitafuta kila muda.
Wakuu kubembeleza mi ndo kulinipitia kushoto hii hali ndo shida sana mi sijuiagi kumbembeleza mtu na ndo nilivyo ukiunganisha na kutokujali ndo balaa wakuu hii hali pia kama inasolution mnipatie maana kunawakati nahsi sikosawa kutokana na hizi hali japokuwa ndo nakuwa na amani zaidi bado nawaza ni mimi tu au kunawatu pia wanahali kama yakwangu?
Watu kama wewe mko wengi, ila jamii inakulazimisheni muwe tofauti.

Jaribu kufikia suluhu.

Mfano, kama watu wanapenda kukupigia simu, na wewe hupendi kuongea sana, pokea simu zao, salimiana nao, halafu waoneshe hupendi mazungumzo marefu.

Hapo inakuwa wao wamekusikia, na wewe hujaongea nao kwa muda mrefu.

Kuna watu wakianza kuongea kwenye simu wanaongea masaa mawili na zaidi, halafu hakuna chochote cha maana.
 
Watu kama wewe mko wengi, ila jamii inakulazimisheni muwe tofauti.

Jaribu kufikia suluhu.

Mfano, kama watu wanapenda kukupigia simu, na wewe hupendi kuongea sana, pokea simu zao, salimiana nao, halafu waoneshe hupendi mazungumzo marefu.

Hapo inakuwa wao wamekusikia, na wewe hujaongea nao kwa muda mrefu.

Kuna watu wakianza kuongea kwenye simu wanaongea masaa mawili na zaidi, halafu hakuna chochote cha maana.

Daah mkuu sawa nimekuelewa nikweli kunwatu wakianza kuongea hawamalizi
 
Kuna siku itafika utawahitaji wa0 kwa maelez0 marefu basi na0 hawatakuwa na huo muda kusikiliza maelez0 yak0 marefu...

Nadhani unajivisent vinakuchanganya ndi0 mana mnataka ku0ngea dili tu...

Skia kaka...Acha kujiendekeza Maisha hayataki iv0 wala usilias...

Hii tabia ni miendekez0 tu hakuna anaezaliwa iv0....
 
Hali ya maisha tu mkuu inakukaba yaani maisha magumu mzee ndio umeshindwa kuviungamisha hivyo viwili yaani ugumu wako wa maisha na hali ya kijamii yaani mawasiliano na jamii yako nakuhaidi siku mambo yakikuendea poa utakaa tu sawa
 
Kuna siku itafika utawahitaji wa0 kwa maelez0 marefu basi na0 hawatakuwa na huo muda kusikiliza maelez0 yak0 marefu...

Nadhani unajivisent vinakuchanganya ndi0 mana mnataka ku0ngea dili tu...

Skia kaka...Acha kujiendekeza Maisha hayataki iv0 wala usilias...

Hii tabia ni miendekez0 tu hakuna anaezaliwa iv0....

Mkuu sidhani kama ushawah pitia hii hali ila mimi hata siipend kuna wakati
 
Back
Top Bottom