Nini kinachowavutia wanawake wawaonapo wanaume?

Awe smart kwa kila kitu kichwani,kuvaa kama anvyoonekana mtoto wa Nyani Ngabu,awe wise enough na mwenye kujua anasema nini na wakati gani,that is for the first sight i can give him credit regardless of the colour and height,mengine yatajitokeza baadae kama anajua kupenda,kujali,n.k
 
Binafsi mwanamme atanivutia kwa mara ya kwanza kama;

Muonekano;
-atakua smart, mwenye kujijali, msafi, nk
-ana umbo la kuvutia,
-awe mrefu wastani
-mwenye kifua, naweza lala kama kwenye mto

kifikra;
nikiongea naye napenda kusikia maongezi ya hekima, anayeonekana kujali, mtafutaji, asiyekua na tabia ya show-off/bishoo.

Kifehda;
hata asipokua na hela kwa wakati huo, kama anaonekana mtafutaji, hamna shida.
 
haijulikani na kamwe hutopata jibu sahihi kwamba wanawake wanapenda nini wapo wenye waume wenye pesa nyingi lakini bado anatoka nje wapo wenye miili mikubwa na warefu lakini bado wake zao wanapigwa miti nje so hakuna jibu lakini wanawake huwa hawana akli timamu kwenye mapenzi ni wajinga sana
 
Mnene 1,hebu fafanua hapo kwenye RED: Umbo la kuvutia ndo la namna gani?
 
haijulikani na kamwe hutopata jibu sahihi kwamba wanawake wanapenda nini wapo wenye waume wenye pesa nyingi lakini bado anatoka nje wapo wenye miili mikubwa na warefu lakini bado wake zao wanapigwa miti nje so hakuna jibu lakini wanawake huwa hawana akli timamu kwenye mapenzi ni wajinga sana

Duh! Aisee nilikuwa sijui :confused2: mabinti hebu tuelezeni hizi tuhuma ni za kweli
 
hakuna alie mkamilifu hata mmoja mengine tutaelekezana taratiibu lkn awe tayari kukubali kukosolewa,kujifunza,kukosoa na kunifundisha pia
umeongea pointi kubwa sana,yani hata MwanaFa ule wimbo alioimba bado nipo nipo,akikutana na watu wenye akili kama yako anachukua jumla lol!
 
Wanaume wengi hawako makini katika kuchunguza sura au maumbile ya wakina dada, hii ni kutokana na ukweli kuwa wanaume wengi husukumwa kufanya juhudi za kumpata msichana/mwanamke ili kufanya tendo la ndoa (sura na maumbile ni vitu tu vinavyozidisha msukomo huo tu si vinginevyo). ndio maana kwa wanaume waliowengi mara baada ya kufanya tendo la ndoa hana muda wa kupoteza analala mbele. Mwanaume akishamaliza shida yake hawezi kuzungumzia lolote lihusulo mahusiano. Kwa wasichana wengi ambao wameingizwa gesti au geto watakubaliana na mimi kuwa mara tu mzee akimaliza shida yake anaoga anavaa nguo then ananyanyua, hakuna muda tena wa kuzungumza lolote, na utafiti mdogo ambao ninao ni kuwa asilimia kubwa ya wanaume wakishamaliza haja zao kwa wanawake hulala usingizi au huondoka zao, mambo ya kusema nakupenda, umeumbika hayana nafasi tena.!!!!!:crutch:
hapo ndipo tatizo letu sisi wanaume tulio wengi,tunashindwa kutofautisha kupenda na kutamani,wengi wetu tunakuwa tunatamani sana,ndio maana wengi wao wanaoa kwa kuangalia sura,rangi umbo pasipo kuangalia tabia,tabia ndio kitu cha kwanza,ndio mana hata MwanaFa kaimba ktk bado nipo nipo,msikilize kwa makini umuelewe ktk ule wimbo na hasa ktk suala zima la kuchagua mchumba hadi mke,si kubabaika na umbo,bora uwe mwazi kama short time mwambie short time,sio unamtamani halafu unadaganya vitu vingi oh sijui nakupenda kuliko mimi au mama yangu mzazi nikilala nakuota,ukiwa nae unamchoka unatafuta mwingine au pengine wakati unamchagua hukumsoma tabia au hamkusomana vizuri mabaya yenu na mazuri yenu kama alivyosema mchangiaji juu hakuna alie kamili,ila kuna kurekebishana na hii inahitaji muda sio haraka haraka,hiyo ndio mimi naita sio kupenda ni kutamani,na madada zetu pia msiendekeze sana mambo makubwa hasa mapenzi ya pesa kama mnavyosema hamcheki sura pochi nene,sawa labda nayo umaskini ndio chanzo cha yote,ndio mana mapenzi ya kweli inakuwa ngumu sana kuyapata hususan ktk nchi zetu zinazoendelea,big up MwanaFa umeona mbali sana na nyimbo yako,nikiona mwenzangu anaibiwa naona kama naibiwa mimi.
YouTube - Mwana FA - Bado nipo nipo
YouTube - Mwana FA - Bado Nipo Nipo
 
Wanaume wengi hawako makini katika kuchunguza sura au maumbile ya wakina dada, hii ni kutokana na ukweli kuwa wanaume wengi husukumwa kufanya juhudi za kumpata msichana/mwanamke ili kufanya tendo la ndoa (sura na maumbile ni vitu tu vinavyozidisha msukomo huo tu si vinginevyo). ndio maana kwa wanaume waliowengi mara baada ya kufanya tendo la ndoa hana muda wa kupoteza analala mbele. Mwanaume akishamaliza shida yake hawezi kuzungumzia lolote lihusulo mahusiano. Kwa wasichana wengi ambao wameingizwa gesti au geto watakubaliana na mimi kuwa mara tu mzee akimaliza shida yake anaoga anavaa nguo then ananyanyua, hakuna muda tena wa kuzungumza lolote, na utafiti mdogo ambao ninao ni kuwa asilimia kubwa ya wanaume wakishamaliza haja zao kwa wanawake hulala usingizi au huondoka zao, mambo ya kusema nakupenda, umeumbika hayana nafasi tena.!!!!!:crutch:

Kweli mkuu tena wengi wakimaliza huwa wanalala na kukoroma mbaya!!
 
Awe smart kwa kuvaa kama mtoto wa Nyani Ngabu,smart kichwani,confidence kwa ujumla awe manhood,awe na hekima,ajue kuongea kwa mpangilio,msomi, awe na hofu ya Mungu na understanding,Hayo ni for the first sight mengine nitaangalia kadri nitakavyomuona for the time being eg.upendo,caring, etc,etc
 
Ahsante Wiselady! Huyo ni mimi nilipokuwa mdogo. Hiyo picha nilipigwa siku yangu ya kwanza elementary school (first grade).
 
Mungu akubariki umpate mwenye sifa hizo, au tayari unae Wiselady?
 
ok,nimekubali lakini hebu tujikite zaidi kwenye physical structure ya mwanaume na tuachane na hizo possessions kama gari,viatu,nguo nzuri ,pesa n.k.

Nakulabiana na hizi qualities.. ILA wengi akina dada zetu cku hizi (c wote), cha kwanza hi HELA.. shape ya wallet yako ndoo inaongea.. kama haujajipanga ki-hela, be sure humpati au mzigo hutakuwa wako pekee..mwanamme hata aliyeoa kaa hana hela, hata nyumbani mke anaona huyu naye...ijapokuwa mke anamvumilia.. mamangu alimdhalau kakangu kwa sababu yeye hana hela, na akanipenda sana mimi kwa kile nampa... cku hizi nisipompa naye anaanza kumsema mke wangu..duh!!

Urembo wa mwanaume ni hela.. wallet.. cash money...hahaha
 
Ahsante Wiselady! Huyo ni mimi nilipokuwa mdogo. Hiyo picha nilipigwa siku yangu ya kwanza elementary school (first grade).
unaonekana vizuri Nyani Ngabu i like it,hata hilo jina halikufai huwa nasema katoto kazuri!!kny picha unaonekana curious pia wazazi wako walikuweka smart hope ur still gud at.Blessings
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom