WiseLady
JF-Expert Member
- Jan 22, 2010
- 3,268
- 531
Amina Bacha naamini maombi yako yatafanya kazi so pray for me.Remain blsdMungu akubariki umpate mwenye sifa hizo, au tayari unae Wiselady?
Amina Bacha naamini maombi yako yatafanya kazi so pray for me.Remain blsdMungu akubariki umpate mwenye sifa hizo, au tayari unae Wiselady?
unaonekana vizuri Nyani Ngabu i like it,hata hilo jina halikufai huwa nasema katoto kazuri!!kny picha unaonekana curious pia wazazi wako walikuweka smart hope ur still gud at.Blessings
Aaaawww you are sooo nice Wiselady.
Suggest jina basi...
And I'm still a very good boy (well...now a man)
I like your name by the way...:A S 8:
Ah..jamani Nyaniiiiiiii...ai weweeee...Jamani nyaniiii...ai..ai..ai ...!!!
naombeni mnijuze wadau!
Mara nyingi wanaume ndo wanakuwa frontline katika kuwatongoza akina dada na kuanzisha mahusiano ya kimapenzi.Isitoshe , mara nyingi utawakuta wakisema oooh huyu dada nimempenda body yake, macho, miguu, kifua,au kiuno hata kutembea kwake.Ile external appearance ya akina dada inamvutia mwanamme kwa kile atakachokuwa ameguswa nacho kabla hajajua undani wa huyo muhusika.
Sasa huwa najaribu kujiuliza, je kina dada nao hii hali inawatokea au la!je akina dada nao wanapokutana na wanaume barabarni, makazini na kwingine kote wanavutiwa na nini kuzingatia physical appearance ya mtu bila kujali/kuangalia mali anazomiliki!
wadau wote, me/ke wa hapa JF naomba mnijuze!
woow!thx for compliment and glad to hear that ur still gud.Napendekeza .....,nasita kuliandika maana mkeshahoi ameshaanza kufatilia so naona anaweza kulichukua.Aaaawww you are sooo nice Wiselady.
Suggest jina basi...
And I'm still a very good boy (well...now a man)
I like your name by the way...:A S 8:
I have just read your heading and did not read other people's views so I will answer this in my own way.
women don't get attracted to man like the way men get attracted to them, just be a normal person and you can get any woman you want.but only if you can be confident enough to look into her eyes and tell her what you want to tell her.May be I am a bit vague ,but what I'm trying to say here is that women are never attracted to the way a man look, simple!

ok,thats good!But how then, we used to hear some women speak out that this guy is very handsome, smart e.t.c. Doesn't this statement proves that also women are being attracted by men's appearance?
No inategemea hapo kila mtu na vigezo vyake jamani.
Mie kwa upande wangu cha muhimu ni yukoje
-Awe mcha Mungu
-Awe mrefu kwa kimo
-Awe amenipita umri km miaka zaidi ya mitano
-Awe amesoma
-Awe ananijali na kunipenda kwa moyo wake wote
-Awe makarimu kwa ndugu na rafiki zangu
Hayo ni machache kwa upande wangu
Baby Angel hizo sifa nilizohighlight na rangi nyekundu zote zinazo kasoro umri ndio i am not sure so whats the deal :becky::glasses-nerdy:
utalionaje on your first sight?Sura 25%, umbile la kazi 75%
ohoo,,,naona wajipigia chapuo, kwani mkuu we teenager?
mpwa kwani bado hujapata jiko hadi sasa, au..............????