bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
- Thread starter
- #41
Mwanaume aonyeshe uanaume sio unakutana na mwanaume hata awe handsome kama MR world lakini mkienda hotel hafungui wallet jamani,mkipita sheli kachuna tu siku mkikodi tax wakati mnataka kushuka anajifanya yupo bize na simu...wakati wa kulipa bili bar anaenda msalani mimi mwanaume marioo hata awe anajua mapenzi kitandani ananipagawisha hadi naongea kichina simtaki tena anikome!hata kama nimemzidi kipato siku moja moja aonyeshe uanaume wake japo hata kununua vijizawadi tudogo tudogo hapo nitampenda sana
mmmmh! kazi ipo!!!!!!!.............