Nini kilimsibu Haruna Moshi?

Dah!Huyu Kibonde naona sasa ndo anaelekea kwenye downfall maana kila kukicha watu wanamlalamikia yeye...sijui ana tatizo gani.Inaonekana hata watu wanaposema labda yeye hapati taarifa au anaona watu mbalimbali wanavyomkosoa haina maana.Nafikiri Clouds wamefika sehemu wamejisahau kabisa na hivyo wanafanya mambo bila kujali kama wanaweza kuchukuliwa hatua za kisheria kutokana na namna wanavyofanya shughuli zao bila kufuata maadili ya uendeshaji wa vyombo vya habari!Ila hata hivyo hayo mambo yanawezekana Africa tu...ha ha ha....
 
Hata Bush na Obama walivuta majani... kuna wazazi na viongizi weti waadilifu sana ambao nao wameonja hiyo kitu... Si haki kumhukumu mtu kwa kiingiacho mwilini... mhukumuni kwa matendo yake!!
 
Kibonde naye huwa anaongea sana.
Hayo ni maisha binafsi ya Boban, yeye anapomsema vibaya anafaidika nini?
Sana sana anaendelea kumuumiza Boban kisaikolojia, na kuharibu picha yake kwa jamii kwa kumtangaza kuwa ni mvuta bange
 
Niliwahi kusema sidhani kama tutatoa mchezaji kwenye ligi kubwa barani ulaya ,wachezaji wetu wakienda nje hawawezi kucheza misimu 3 mfululizo nje,wanarudi bongo kuja kuchezea Simba/Yanga/Moro nk mfano Matola,Mrwanda,Kaniki,Ivo
 
Nimesikia habari za kusikitisha sana, kwamba mwenzake Chuji sasa hivi anakula unga kabisa!!
 
Niliwahi kusema sidhani kama tutatoa mchezaji kwenye ligi kubwa barani ulaya ,wachezaji wetu wakienda nje hawawezi kucheza misimu 3 mfululizo nje,wanarudi bongo kuja kuchezea Simba/Yanga/Moro nk mfano Matola,Mrwanda,Kaniki,Ivo
But noe Nizar mni msimu wake wa 2 na next season anakipiga US Major Soccer League na Kina Henry na Beckham kaka
 
kwa hii mizengwe anayoendeleza boban nafikili taraaatibu watu wataanza kumuelewa maximo
 
nadhani huu ni ulimbukeni wa watanzania kukurupukia vitu bila kuvijua vizuri
tusimlaumu sana

i always hate this behavior of some of the people of understimate their nationality identification ss ndugu unaposema watanzania ni walimbukeni hujataja ni wangap na ww ni nan au we ni mkongo, mkenya, myuganda, mnyarwanda au? Hebu tuambie ww ni nan sisiti kusema huo bado ni utumwa wa mawazo uliokujaa kwenye kichwa chako inauma sana kuwajumuisha na watu ambao ni innocent kwa matatizo ya mtu mmoja kumbuka hiyo inayoongelewa ni personal problems. So just ushauri wa bure rekebisha kauli za maandishi yako kukosa kufanya hivyo we ndo utakuwa na matatizo makubwa kuliko hata ya yule anayezungumziwa kama we mwenyewe unajitukana unategemea watu wa mataifa jirani km kenya, uganda etc watafanyaje
 
Back
Top Bottom