hujanielewa nilichoandika na mimi sijakuelewa vizuri jibu lako je unaona kama namtetea au?angalia maslahi wewe.
ndo hapo,mshahara wa machupa sijui km unazidi dola 1000,lakini kakomaa yupo na anakazana kupiga boliSo akirudi Simba Maslahi yatakuwa makubwa kuliko huko Sweden!
Kweli shule ni muhimu sana.
Mmmmmh! Liverpool gani iko Champions League???!!!!Mibangi tuu, jana huyo ndumbaro kasema jamaa alikuwa analipwa dolaa 5000 kwa mwezi (5000X1450)=7,250,000 haya kodi kubwa walikuwa wanachukua mshahara wote au? halafu nimesikia leo asubuhi CLOUDZ fm hiyo timu ya jamaa imeingia Champions league na watapambana na Liverpool sasa jamaa kachemsha KINOOOOMA
timu hata iwe inacheza mchangani cha kuangalia mwisho ni yeye anapewa bei gani zaidi ukitofautisha na timu za homu.hujanielewa nilichoandika na mimi sijakuelewa vizuri jibu lako je unaona kama namtetea au?
mpira ulaya mgumu.....kuanzia mazoezi,diet na life style.
mazoezi:btn 6-10am imagine winter time,winter ya sweden up to -10s sasa ndugu yetu katoka tz-dar avrg temp 27c ataweza??na mazoezi mara hadi 3 kwa siku plus more hrs in the gym.
diet:no burger,no chips vumbi,no pizza yaani vyakula vyote tunavyoona vinono kwa pro.footballer ni mwiko,msosi wa kawaida wa pro-baller ni pasta kwa kwenda mbele....sasa ndugu yetu huyu kazoea chips,mayai kuku,pilau,wali na mboga tatu ukamwambie ashindie plain pasta ataweza?
life style:life style ya pro fooballer haina tofauti na ya mwanafunzi wa bweni,kuna curfew[ulale muda fulani na kwa muda fulani],no clubbing/drinking, ila kwa ruhusa maalum,bangi,cocaine can result to a long ban+fine......imagine mchezaji anapata £50,000/week halafu anaambiwa hana ruhusa ya kujirusha....
kwa kweli mpira ni mgumu sana na unahitaji mtu awe na determination ya hali ya juu kufanikiwa,bangi na ukichwa panzi lazima uchemshe.....
mkewe alienda yakamshinda mapema akarudi,alijifungua hakuona mashoga wala rafiki kwenda kumsaidia mtoto,akasema maisha haya hayawezi karudi bongo,inawezekana na jamaa akapata shinikizo la mkewe pia kurudi.Pamoja na kutokujua sana mambo ya mipira..kuna kitu naweza kukiona kwa huyu kijana kufuatana na hali iliyomkuta huko ughaibuni:
Hakuwa ameandaliwa vya kutosha kujua kuwa ughaibuni kuna changamoto zake hata kama una pesa.Vijana wengi wa kitanzania wasiokuwa na exposure wana ndoto kuwa ughaibuni ni asali na maziwa tu. Alitegemea akiwa huko atakuwa superstar aishi maisha laini. Hakujua kuwa huko unatakiwa uwe na nidhamu ya hali ya juu kimaisha - kulipa kodi, kuheshimu taratibu ikiwemo mikataba - tunaambiwa alikuwa mara nyingine haendi mazoezini.Huu ni utovu wa nidhamu.Kijana wa watu alitaka kudai gate collection! Huu ni uswahili aliotoka nao TZ . hUKO WENZETU KILA KITU KINAENDANA NA TARATIBU.
Nadhani pia alikumbana na changamoto nyingine za kijamii - huko kwanza lugha ni ishu sana... watu wengi wanajua kiingereza lakini wanaongea ki swede...uwezekano mkubwa alijisikia mpweke sana... sijui kama alikuwa na mkewe huko.
Fundisho hapa ni kuwa vijana hawa wapewe maandalizi ya " entry into foreign culture" wajue huko uswahili waliouzoea haupo na utawa cost big time!
hivi hawa wachezaji wetu ni bangi au kukosa elimu ndio inawasumbua?
Ninapoiandalia hii video clip ya Haruna Moshi nashindwa kuelewa atakuja pata nafasi kama hii lini ndugu yangu khaaa najuuuta kuwa Mbongo
sijakataa,ila mimi nilikuwa nasahihisha hii timu haijafuzu michuano ya ulaya uefa champions ligi wala eufa europa cuptimu hata iwe inacheza mchangani cha kuangalia mwisho ni yeye anapewa bei gani zaidi ukitofautisha na timu za homu.