Nini hatima ya Lipumba vs Maalim Seif

Mchezo unaofanyika CUF ni kama mtoto aliyejiandaa kuoga nje kwenye mvua halafu akakutana na mvua ya mawe hapa lazima atameza taulo tu.

Wakuu wa bara na visiwani mtafunua funua hiyo katiba ya chama mpaka itachanika na kila mtu atakuja na tafasiri zake.

But this is just a tough political game of two mamba, mpambano wa prof. Lipumba vs Maalim Seif, wengine ni washehereshaji tu.

Sasa prof na Maalim amueni sasa aidha mkae chini wawili mjadili mustakhabali wa chama au muendelee kuwa pressurized na non-CUF's ili mkiue chama vizuri.

Ustawi wa CUF hauwezi kuletwa na mtu/watu, chama au vyama visivyo CUF hkika wana- CUF chama mlijenga wenyewe na mkicheza mtakibomoa wenyewe, msisingizie mtu.

Kuna watu walipata ulemavu na hata wengine kupoteza maisha kwa ajili ya maandamano ya CUF na hakukuwepo washereheshaji.

But today in the memory of them mnawakumbuka kwa kuwatengenezea salad ya matango na sukari kweli? Will it work?
Chama kitabaki Zanzibar baada ya wanachama wote wa bara kurudisha kadi. Ikiwa hivyo kitakosa sifa ya kuwa chama cha siasa na msajili atakifuta!
 
Watu wanaojiita maprofesa Tanzania ni shiiiiida !! Cheki matendo Yao hayaendani na huo Usomi wao, maprofesa wa Tanzania ni tofauti na maprofesa wa nchi zingine

Mfano mzuri wa maprofesa njaa wa Tanzania ni yule professor mzee wa kihaya ambaye ni mshauri wa chadema aliyefukuzwa Mlimani
 
Back
Top Bottom