Nini Dawa ya Ushoga?

makosa ya wazazi kuacha watoto wajilee wenyewe
mpaka wenzie wanamshika na kumfunga na tairi wazazi mpo wapi?
 
Kuna jamaa yangu kwa muda mrefu tangu nijuane nae sijawahi kumuona wala kusikia hata tetesi kua ana demu ila kishule shule tulipokua boarding school nilipata tetesi kua kuna watoto wanamgonga.

Yeye nilivyomuuliza alikataa alikua anajitetea kua ni mlokole ila jana ndo kashindwa kuvumilia amenifuata maana umri umeenda na wazazi wake wanamtaka aoe na hana sababu ya kukataa coz ana kazi nzuri mshahara mkubwa hila tatizo haifanyi kazi.

Ameniambia tangu tulipokua boarding school alianza tabia za kishoga mpaka anamaliza chuo kikuu I mean kaanza huo mchezo zaidi ya miaka 10.

Sasa hivi anataka kuacha hili aoe. Je, atumie njia gani hili aache ushoga na aweze kufanyakazi kama wanaume wengine?
 
Watu wengine bwana matatizo ya kwao lakini wanasingizia wengine!!! Eti kuna jamaa angu. Si useme tu kwamba mwenzenu nimezidiwa nataka kuacha ushoga. Hiyo ndiyo raha ya jf.
 
Watu wengine bwana
matatizo ya kwao lakini wanasingizia wengine!!! Eti kuna jamaa angu. Si
useme tu kwamba mwenzenu nimezidiwa nataka kuacha ushoga. Hiyo ndiyo
raha ya jf.
Watu wengine bhana sasa hata kama yeye mwenyewe ndo mhusika si msaidie kwa vile ameomba msaada njia ya kuacha ushoga.Kama huna au hujui njia ya kusaidia si lazima uweke comment zisizo na msaada kaa kimya,kweli wewe cobra.
 
Sasa anataka aoe akamtese mtoto wa watu?
Hii ni psychiatric case. Aende kwa madaktari wa vichaa, na kwenye maombi. miss Judith, kuja pande hii kuna kondoo potential.
 
Last edited by a moderator:
Anatakiwa amuone Daktari wa saikolojia aende pale muhimbili kumuona mama mmoja hivi mzungu yupo kitengo cha magonjwa ya akili then anaweza aka ni pm nimsaidie dawa flani lakini baada ya kumuona mtu huyo
 
Patamu hapo! Kuna kuwaelekeza wengine kwenda Mbinguni lakn mwenyewe usifike huko.
 
Watu wengine bwana matatizo ya kwao lakini wanasingizia wengine!!! Eti kuna jamaa angu. Si useme tu kwamba mwenzenu nimezidiwa nataka kuacha ushoga. Hiyo ndiyo raha ya jf.

mbona unakua cyo muelewa umeletewa tatizo toa msaada hata kama ni mimi au cyo mimi kinachotakiwa ni mawazo yako tumshauri vp kijana mwenzetu,maana ukiona mpaka mtu anatoa siri zake ujue amedhamiria kuacha
 
Mwambie ahamie malawi kwa maana anaweza kusaidiwa akaacha ushoga lkn hatoweza kumtosheleza mwanamke atakaeoa
 
sidhani kama kuna njia ya kusolve hii kitu hasa kama nguvu za kiume hana...kama tatizo lingekua kuingiliwa tu na nguvu anazo ingekua suala rahisi sana na solution yake ni ya KISAIKOLOJIA zaidi... ila kwa hili naona kuna utata sana.......
 
Hapo mbona hakuna shida si aoe tu, kwani kama wanamla kiboga hawezi kujamiana na mke wake au ndo nguvu zinakuwa zimekwisha
 
ila kuna mwana jf mmoja katoa hiyo website ya mustakabali wetu afuatilie vizuri nahisi atabadilika ila mhusika amuambie huyo rafiki yake ajiamini tu na ajiangalie kama ana nguvu bado au ndio kwisha kabisa?

vile vile acheki sana movie za ngono za wasichana awe na mzuka nao? ajipushe kucheki picha za wanaume wenye misuli, au waliovaa nguo za ndani zinamtia matamanio ajizatiti kwa wanawake tu vile vile kama ni rafiki yako kipenzi jaribu kuwa unampigisha story za mademu hasa za sexy na nini naamini atabadili tabia ushoga sio ugonjwa ni tabia kama za wavuta bangi madawa ya kulevya cha muhimu akae mbali na matamanio hayo.

avunje pia urafiki na mashoga wenzake na pia hao wababa wanaomuchukua afute namba zao au abadili namba ya simu maana watakuwa wanamtongoza na akisikia sauti tu inamtaka anapata nyege so vyanzo vyote vya vishawishi aepukane navyo pia amshirikishe mungu aachane nalo hili na apate mke bora halafu na kama wewe rafiki yake mtunzie siri hiyo maana ni fedheha kwake na ikija kujulikana itamletea shida sana katika maisha yake na mke wake atajisikia vibaya sana na kujuta kwa kuolewa na shoga.

pia wana jf sidhani kama kuna watu wanapenda kuwa mashoga bali mambo haya ni mijitamaa ya ajabu ajabu ya kupenda vitu vy dezo na vile vile kusifiwa mzuri mara handsome mwisho wa siku unakuta imo ndani, so tuwasaidie watokane na hilo.
 
Watu wengine bwana matatizo ya kwao lakini wanasingizia wengine!!! Eti kuna jamaa angu. Si useme tu kwamba mwenzenu nimezidiwa nataka kuacha ushoga. Hiyo ndiyo raha ya jf.

Nimetoka kumpa makavu live miss strong na mambo hayohayo....ukiangalia mwandiko ni yeye mwenye matatizo lkn anasema oh rafiki yangu oh jamaa yangu,humu sio watoto wadogo bwana tuna akili zetu!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa miaka 10 unafanya huo mchezo ni dhairi sphinter/exhaust imechaachia kabisa na misuri ya uume ishalegea, cha kukushauri nenda hospital wakupige bomba ya kuondoa uchafu(manii) maana zitakuja kukuletea matatizo makubwa mbeleni huko, kuhusu kulegea kwa misuli ya uume na kushindwa kufanya kazi, nenda kwa dr wa uzazi akufundishe jinsi ya kufanya kergel exercise.
 
mmmh bwana likavenga kumbe ndio ww...ok ina maana huyo rafiki yko kakutuma nenda JF ukaniombee ushauri vp niache ushoga!! By the way uwe wewe ama co ww fanya hima ushoga co dili.halafu kwa mujibu wa maelezo yko inaonesha umefika mpaka chuo.sasa hyo ''HILA'' katika sentensi zako inatoka wap?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom