Pole sana ndugu. Ameanzaje??angalia pia mnavyomleya au alikuwa boarding school?? au mlikuwa mbali na mtoto?malezi yanahitaji kuwa karibu na watoto zaidi na pia sishauri wazazi kupeleka watoto wadogo shule za boarding. Hakuna control nzuri kule na wengi sana wanaharibikia huko. Inabidi turudie maadili ya baba na babu zetu sasa, mambo ya kuiga wazungu tuache!! natanguliza pole sana, it real hurts!!!