Nini dawa ya kuacha kutembea nje ya ndoa?

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,064
10,723
Waungwana mwenzenu nimeoa miaka kama miatau iliyopita mi na bi mkubwa twapendana sana tu,ila mimi kwa upande wangu nahisi simtendei haki my wife coz tangu tuowane nimeshapiga kama madem watano(5) in total na ki ukwali c kwamba nakuwa nimewapenda NO!,Ni tamaa tu coz my wife ni portable flan so unakuta labda nimekutana na demu bonge kdogo basi nataka kuonja ikoje and so forth.Na gia yangu kubwa ninayowapatia hawa dada zangu ni lift huwa ni mwepes sana kupiga brake pindi nikutanapo na niliemtamani.Sasa kiukwel imenikifu na ninahitaji kubadili tabia japo cjwai kula kavukavu hata mmoja lakin nahisi namdhulumu wife sana sasa nilijaribu kuweka dhamira kipindi flan mimi mwenyewe kwamba kuanzia leo ctak mwanake yyote na ninakumbuka nilinote kwanye dairy yangu na nikaweka sain chini ya hicho kiapo changu,lakin ilikuwa ndo nimechokoza coz nilijilisha kiapo saa 2 asubuh then kwenye saa 6 nikaenda Bank 1 kwa shughul za kikaz ghafla huyo bank teller aliekuwa ananiudumia akaleta matejo mengi na kunipa namba zake za sim ki ukwel alikuwa mrembo Duh!uzalendo ukanishinda nikaiuka kile kiapo nilichojiwekea.
Sasa Nduguzangun wake kwa waume naomba ushauri wenu ni jins gani nitaweza kuachana na haka katabia cha kumsaliti my wife jaman coz wife ananiamin mno,na ctak mpaka aje agundue coz mmmhhhh,itakuwa ni mbaya sana.
Nawasilisha.
 
dawa ni kuwa muaminifu tu kama utaendelea na tabia yako ya kutokuwa muaminifu ujue hata mke wako nae anajuta kwanini anatoka nje ya ndoa
 
Nadahani wewe ndo unasalitiwa zaidi na mkeo na sio wewe unamsaliti, umeshaiona diary yake amesaini mara ngapi? hahahhaa kaka ukiiona yake ukikuta kuna sahihi kumi ujue nini sisi wa huku maana ni tatizo la kitaifa hilo.Amekuonea huruma lakini ameamua ku give up sasa hoivi anatupa tu.
 
dawa ni kuwa muaminifu tu kama utaendelea na tabia yako ya kutokuwa muaminifu ujue hata mke wako nae anajuta kwanini anatoka nje ya ndoa

safi sana zipuwawa mara nyingi watu wa hivyo huwa wanaoneana huruma. Na aliyesema huenda ndo anatakiwa kuonewa huruma sana. Maana no one cares about the spouse feelings. hivyo jamaa angejua angetulia ili ausikilizie moto wa mwenzake. Ukiwa huendi nje ni rahisi kumgundua mwenzako maana utahitaji muda mwingi ku spend pamoja. Ukiona kila mtu na time yake ujue hasara
 
As long as wewe ni fisadi hata kazini kwako huwezi kuacha kwenda nje ya ndoa! any moral decay emanate from within my bro! Okoka, usipende chochote kisicho halali yako.
 
Nadahani wewe ndo unasalitiwa zaidi na mkeo na sio wewe unamsaliti, umeshaiona diary yake amesaini mara ngapi? hahahhaa kaka ukiiona yake ukikuta kuna sahihi kumi ujue nini sisi wa huku maana ni tatizo la kitaifa hilo.Amekuonea huruma lakini ameamua ku give up sasa hoivi anatupa tu.[/QUOT
Ushauri mwingine bana.
 
unatishika nini? Ukila vya wenzio na vyako vyaliwa.

Umekuja hapa kifua mbele kuwa wewe ni kidume cha ku cheat....acha uelezwe ya kweli sasa.
 
We nawe umezidi....kama mwenyewe huwezi kujipangia na kujiamulia unataka ushauri gani tena??
Hamna dawa unachohitaji ni self-discipline ....kitu ambacho unaonekana huna kabisa!!!Kwakuongezea
jaribu kua na mke wako muda mwingi.....labda utakosa huo muda wakutamani kila kilichovaa sketi!!!:teeth:
 
Ukiona katika ndoa kila mmoja yuko kivyake ujue hapo kuna tatizo.ukiwa katika ndoa wanandoa wapo pamoja kwa kila kitu hata wkenda wanatoka kwa pamoja wakitoka kazini pamoja kwenda pamoja hapo hata kuchakachua nje ni ngumu sn na kama ipo ni kwa kiwango kidogo sana.
Ndugu yangu ukweli uliowazi wewe haoko karibu sana na mke wako kwa hiyo kata ukubali muda ambao wewe unakamua nje na mke wako ujue naye anakamuliwa nje tena vibaya mno pengine analiwa hadi tigo na ndio ukweli mke anayechapwa nje anachapwa kisawasawa kama anavyopigwa mwizi si mke wa mtu.
Kwa hiyo ndugu yangu badilika tena haraka sana
 
hata kama hupigi kavukavuu...jiandae kuanza kutumia ARV maana hizo zana siyo kitu...na kwa taarifa yako kuna jamaa keshamtafuna nanihii wako maana huyo demu aliyemtafuna aliemweleza kuwa anamkomoa mme wake ambaye amekuwa kicheche mno...
pole sana maana na wewe vyako vinaliwa..
 
Walah kesho namwambia mkeo ambaye ni shemeji yangu au ukileta ubishi namtokea mimi! umesahau ile formula kuwa mambo unayoyafanya mkeo anafanya nusu yake? just kidding usije
 
1. Honor your spouse by honoring your marriage vow of fidelity.
2. Be aware of infidelity "danger zones."
3. Know yourself and create open lines of communication with your
spouse.
4. Make your marriage a priority.
5. Create a marriage vision.
6. Make time for doing fun
things in the marriage.
7. Having a good sex life and enjoying a sense of romance is an
important part of a good marriage.
8. Make time for meaningful conversation.
 
Kuna waliojaribu kukupa advice nzuri,wengine..... Now from the horses mouth!! Nami nilikua hivyo hivyo,wewe unasema wa 5 miaka mi 3! Hehe dude you are a saint. Mimi nilifanya hivi: 1. Rekebisha akili yako kutambua kua kufanya mapenzi nje ya ndoa SIO SIFA ni kujishusha thamani. 2.kama wewe mke wangu nampenda kuliko hao wote combined,nikaanza ku spend more time wit my baby at 1st nilikua kama nalazimisha baadae imekua ugonjwa.She is INTERESTING BEYOND wht i thot. 3. Epuka marafik malaya,tafuta vishughuli nje ya ajira vya kuku occupy na kufanya life na mke wako interesting.
 
Back
Top Bottom