Nini dawa ya kuacha kutembea nje ya ndoa?

Kama unajipenda hope utampenda na mkeo. Na kama unampenda huwezi kumdhalilisha hivyo. DAWA hapo ni HOFU ya Mungu tu. Ukijua kila chochote ufanyacho Mungu anakuona na kina malipo yake, hutamsaliti mkeo tena!
 
Komaa Brother!!!!!!!!, Jaribu kuwa karibu na WIFE sana!!!!!, utaanza kumuona Malaika. Najua baada ya kumega huko nje, hua ukitua wajiuliza.... Godaaamm IT, why did I do that!!!!!, chukua muelekeo! Badilika Uishi!!
 
waungwana mwenzenu nimeoa miaka kama miatau iliyopita mi na bi mkubwa twapendana sana tu,ila mimi kwa upande wangu nahisi simtendei haki my wife coz tangu tuowane nimeshapiga kama madem watano(5) in total na ki ukwali c kwamba nakuwa nimewapenda no!,ni tamaa tu coz my wife ni portable flan so unakuta labda nimekutana na demu bonge kdogo basi nataka kuonja ikoje and so forth.na gia yangu kubwa ninayowapatia hawa dada zangu ni lift huwa ni mwepes sana kupiga brake pindi nikutanapo na niliemtamani.sasa kiukwel imenikifu na ninahitaji kubadili tabia japo cjwai kula kavukavu hata mmoja lakin nahisi namdhulumu wife sana sasa nilijaribu kuweka dhamira kipindi flan mimi mwenyewe kwamba kuanzia leo ctak mwanake yyote na ninakumbuka nilinote kwanye dairy yangu na nikaweka sain chini ya hicho kiapo changu,lakin ilikuwa ndo nimechokoza coz nilijilisha kiapo saa 2 asubuh then kwenye saa 6 nikaenda bank 1 kwa shughul za kikaz ghafla huyo bank teller aliekuwa ananiudumia akaleta matejo mengi na kunipa namba zake za sim ki ukwel alikuwa mrembo duh!uzalendo ukanishinda nikaiuka kile kiapo nilichojiwekea.
Sasa nduguzangun wake kwa waume naomba ushauri wenu ni jins gani nitaweza kuachana na haka katabia cha kumsaliti my wife jaman coz wife ananiamin mno,na ctak mpaka aje agundue coz mmmhhhh,itakuwa ni mbaya sana.
Nawasilisha.

to be hurt its your own willing
 
Waungwana mwenzenu nimeoa miaka kama miatau iliyopita mi na bi mkubwa twapendana sana tu,ila mimi kwa upande wangu nahisi simtendei haki my wife coz tangu tuowane nimeshapiga kama madem watano(5) in total na ki ukwali c kwamba nakuwa nimewapenda NO!,Ni tamaa tu coz my wife ni portable flan so unakuta labda nimekutana na demu bonge kdogo basi nataka kuonja ikoje and so forth.Na gia yangu kubwa ninayowapatia hawa dada zangu ni lift huwa ni mwepes sana kupiga brake pindi nikutanapo na niliemtamani.Sasa kiukwel imenikifu na ninahitaji kubadili tabia japo cjwai kula kavukavu hata mmoja lakin nahisi namdhulumu wife sana sasa nilijaribu kuweka dhamira kipindi flan mimi mwenyewe kwamba kuanzia leo ctak mwanake yyote na ninakumbuka nilinote kwanye dairy yangu na nikaweka sain chini ya hicho kiapo changu,lakin ilikuwa ndo nimechokoza coz nilijilisha kiapo saa 2 asubuh then kwenye saa 6 nikaenda Bank 1 kwa shughul za kikaz ghafla huyo bank teller aliekuwa ananiudumia akaleta matejo mengi na kunipa namba zake za sim ki ukwel alikuwa mrembo Duh!uzalendo ukanishinda nikaiuka kile kiapo nilichojiwekea.
Sasa Nduguzangun wake kwa waume naomba ushauri wenu ni jins gani nitaweza kuachana na haka katabia cha kumsaliti my wife jaman coz wife ananiamin mno,na ctak mpaka aje agundue coz mmmhhhh,itakuwa ni mbaya sana.
Nawasilisha.
Mfumanie mkeo kakunjwa ka tairi na mpemba....na!!
 
Mfumanie mkeo kakunjwa ka tairi ya bajaji na dume la kipemba... akili na busara yako itakaa sawa tu!!!:bump:
 
waungwana mwenzenu nimeoa miaka kama miatau iliyopita mi na bi mkubwa twapendana sana tu,ila mimi kwa upande wangu nahisi simtendei haki my wife coz tangu tuowane nimeshapiga kama madem watano(5) in total na ki ukwali c kwamba nakuwa nimewapenda no!,ni tamaa tu coz my wife ni portable flan so unakuta labda nimekutana na demu bonge kdogo basi nataka kuonja ikoje and so forth.na gia yangu kubwa ninayowapatia hawa dada zangu ni lift huwa ni mwepes sana kupiga brake pindi nikutanapo na niliemtamani.sasa kiukwel imenikifu na ninahitaji kubadili tabia japo cjwai kula kavukavu hata mmoja lakin nahisi namdhulumu wife sana sasa nilijaribu kuweka dhamira kipindi flan mimi mwenyewe kwamba kuanzia leo ctak mwanake yyote na ninakumbuka nilinote kwanye dairy yangu na nikaweka sain chini ya hicho kiapo changu,lakin ilikuwa ndo nimechokoza coz nilijilisha kiapo saa 2 asubuh then kwenye saa 6 nikaenda bank 1 kwa shughul za kikaz ghafla huyo bank teller aliekuwa ananiudumia akaleta matejo mengi na kunipa namba zake za sim ki ukwel alikuwa mrembo duh!uzalendo ukanishinda nikaiuka kile kiapo nilichojiwekea.
Sasa nduguzangun wake kwa waume naomba ushauri wenu ni jins gani nitaweza kuachana na haka katabia cha kumsaliti my wife jaman coz wife ananiamin mno,na ctak mpaka aje agundue coz mmmhhhh,itakuwa ni mbaya sana.
Nawasilisha.

to be hurt its your own willing
 
Hii kwangu ni rekodi

Miaka mitatu ya ndoa tayari umetembea nje mara tano! Ndoa yako ikifikisha miaka kumi na sita kama ya BE utakuwa umetembea nje mara ishirini na tano...
 
Hebu kuwa na huruma we mwanaume.
Utamaliza mabucha ila nyama ni ile ile.
Mbona wanaume mnatutisha!! Naomba asiwepo mwingne wa dizaini yako.
 
dawa ni kuwa polygamist...............oa wake sita kwa uchache............... I mean mkeo wa sasa na hao watano................ kama hawatatosha angalia uwezekano wa kuongeza............. nafikiri umenielewa............
 
Chukua mke wa mtu,jipige nae selfie halafu mtumie mme wake. Baada ya hapo utapata dawa ya kuacha hiyo tabia .trust me hii imewasaidia wengi waliojaribu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 3 kwa watano tu?
Wewe ni mtakatifu. Hongera.
Mie hiyo ilikuwa ni idadi ya mwezi mmoja au miwili tu lakini asante Mungu niliweza kutoka kwenye hilo janga.
Haya mambo yako ndani ya akili tu,kuanzia sasa anza kutumia muda mwingi na wife na hata kama shem alikuwa anakuhisi basi ongea naye nakumhakikishia kwamba hatoona tatizo hilo tena na kwamba akiona mtu anatumatuma meseji basi mripoti mapema.
Nakwambia ukiamua kukaa na mke wako muda mwingi,mkitoka out pamoja na kwenda kula mihogo au viazi pamoja nakwambia kuna kitu kitajengeka ndani yako na kutamani kuwa naye yeye tu. Epuka kubeba wanawake hovyo kwenye gari yako.
Usiombe namba ya binti wala kumpigia mwanamke ili kumtongoza.
Naamini you can do this. Very simple.
 
Back
Top Bottom