Nini chanzo cha michepuko, je watarajiwa wa ndoa michepuko tunaizuiaje?

sijui tuwape nini hawa viumbe wa kiume,yani mie huwa wananichosha sana.sijui Mungu kanianda mume wa aina gani.Eeeeh! Mungu nipe mume asiyechepuka.
 
kama mwanaume kachepuka mwanamke naye kachepuka. Kwani anachepuka peke yake? kwahiyo kwamba wanaume ndo wachepukaji tu, sikubali. Hapa suala linakuja kama aliyechepuka ni wako ila jinsia zote zina fursa sawa za michepuko.
 
Kwa wanaume waliutulia wanawake walioolewa ndio chanzo kikubwa cha mchepuko. ndio maana hawawezi changia hii mada. ila wenye tabia ya umalaya ipo kote
 
sijui tuwape nini hawa viumbe wa kiume,yani mie huwa wananichosha sana.sijui Mungu kanianda mume wa aina gani.Eeeeh! Mungu nipe mume asiyechepuka.

besti ni kumuomba Mungu tu
ukitulia wewe unapata mwanaume malaya
mwanaume mtulivu mwanamke malaya
yaani we acha tu mapenzi haya
 
Wake zetu mnatupiga mswaki mnoo wiki mbili ndo unapewa kimoja. Wala msilalamike na michepuko hiyo kuchoka kwenu ndo inasababisha michepuko
 
Apologise lady,this is not gud aisee!

Ubaya wake nini????
kwani wewe hujui wanawake ni wengi kuliko wanaume, kuliko kuingia kwenye ndoa na wasiwasi ni bora kubaki kuwa mchepuko, kwenye mchepuko hakuna stress atii. huo ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom