Nini chanzo cha michepuko, je watarajiwa wa ndoa michepuko tunaizuiaje?

Habari zenu wanajamvi

Jamani mimi mpaka naogopa kuolewa Jamani, I meet this guy ameoa ana watoto watatu lakini anaenda kulala na machangudoa jamani ambao wanatafutiwa na madereva bajaji. Yaani nilisimuliwa na dereva bajaj mpaka nikasisimka kuna haja ya kuolewa kama mambo ndiyo yapo hivyo.😂😂

Tulijadili hili
Wala usiogope binti, kuchepuka hakupo ndoani tu zipo ndoa nyingi zisizo na michepuko kingine hata wasio nje ya ndoa uchepuka. Uwe makini tu kupata mwenza sahihi, kumbuka kama ilivyo kwa wanawake kua si kila mwanamke malaya the same kwetu wanaume
 
Mleta mada unataka kusema kwa kuwa kuna ajali za barabarani zinazohusisha magari,hivyo hutapanda gari kwa kuhofia ajali za magari? Ni bora utembee kwa miguu!!
 
Kama mkristo nenda mlilie Mungu madhabauni ukiwa ktk hali ya usafi Mungu atakupa wako na usiwe selective mwachie Mungu atakupa tuu mwenye hofu yake. Be blessed
 
LoL! Vyote vitamu ila mugongo ndio umezidi kwa utamu, jaribu utaniambia nyama ya bata haioni ndani kwa utamu.

ha ha ha kumbe panya mtamu...hebu ninong'oneze utamu wake nini kipapatio au paja ha ha ha
 
ni tabia ya mtu tu. Sio wote ni wachepukaji.
Unaamini nini rohoni mwako?

asilimia ya wasiochepuka ni ndogo.uzoefu unaonyesha kuwa ndoa zikiwa changa hakuna anayechepuka wakichokana michepuko huanza! Kha! Mke/mme anakupigia simu wala mwili hausisimki lool!
 
Back
Top Bottom