Ningekuwa nafasi ya wenger

Ha...ha..ha What a joke!!!

huo ndio ukweli hata gang muumini mkuu wa dinho hawezi kuupinga, alipoteza muda mwingi kwenye ligi ya kichovu ya ufaransa , alitakiwa aje uingereza kwanza (kwenye kikosi cha wasioshindika - the invincibles) kisha ndio angeenda arsenal b (i.e. barcelona) kabla ya kujiunga na zilipendwa milan.
 
The glory of United overshadows a one man success story get that into your head bro.Compare that Simba Dume of yours with Ryan Giggs but never United.It takes more then lifting the CL in four different occassions to equal a guy with a team especially the one with United's calibre.

hivi ni kweli seedorf ndiye aliyesababisha ronaldo wa ukweli arudi kwao brazili kutokana kuingilia masuala ya ndani ya kifamilia? sasa mbona nasikia bado ni mabesti na mkongwe anataka kwenda kustaafia huko kwa wanasamba na wanacarnival?
 
Sina habari kamili kwenye hili suala labda mnazi Gang Chomba atusaidie hapa kama anazijua.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom