Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,604
- 1,704
Bado Cilnt demsey ni mzuri mara 6 ya ramsey na huyo Diaby na Miyaichi dogo mzuri sana au hujawahi kumwona??? maana hii nayo ishu ingine? na ningeenda mnunua Demsey maana Arsenal pesa za Kununua na kushindana na club tajiri ulaya hawatoi ila je hata Ma scout wake wanashindwa kupata vipaji kama walivyokiona na OX? alafu huyu M'VILLA ni mzuri sana katika Defensive mildfielder kama atakuwa form yake aliyokuwa nayo After EUROS hatutakuwa na ubavu wa kumpata tena maana atakuwa Inflated ghafla
Naona bado una shingo ngumu, unaendelea tu kuongelea vitoto, mwambie Wenger timu sasa inahitaji wazee wazima, watoto wa kutosha inao - iende kwa Maurinho pale kuna wazee wanataka kuwa offloaded, isogee pia Barca kuna wazee wa kazi wanataka kutimka, hata Chelsea pia wapo; cheki Man City walichukua mzee mzima Yaya Toure sio umeona matunda yake!