Uchaguzi 2020 Ningekuwa Makonda ningesubiri mpaka 2025

Ndugu Paul Makonda Ukuu wa mkoa ndio ulikuwa unampendeza na kumpa mamlaka ya Nguvu kuliko huo ubunge anaouhitaji,

Japokuwa ukuu wa mkoa ni nafasi inayotegemea mteuaji ameamkaje kwa siku hiyo(haikupi uhakika kwamba utakuwa ofisini siku ya kesho) lakini kwangu Ukuu wa mkoa ilikuwa ndio nafasi pekee ya kutamba kwake ukizingatia aliweza kula vizuri na boss wake hivyo kwa vyovyote vile alikuwa na uhakika wa kuwa tena mkuu wa mkoa kwa wakati mwingine tena...

Hujawahi kuwa na upendo naye. So how and why this love.
 
Ni kweli mkuu wa mkoa ana nafasi ya kutengeneza pesa ndefu na kutumikia wananchi vizuri ila hii ni plan B utashangaa anakuwa waziri mara huyo.
 
Magufuli kamwambia Bashite agombee.

Akiingia Bungeni Anapewa Uspika.

Tayari Rais, Waziri Mkuu na Spika Wana Kinga Za Kutoshtakiwa.

Lengo Ni Kumlinda Dhidi Ya Matukio Aliyopiga - post 2025.

A Calculated Move
kwani hayo matukio aliyafanya akiwa spika ?
 
Naunga mkono hoja,

Binafsi kua mkuu wa mkoa Kama DAR, Ni zaidi ya uwaziri na ubunge.

HILI jiji lina hela Sana hili,

Kuanzia Ela halali mpaka za kupiga dili.

Unaweza kuamka ukapata Ela yoyote, hasa kwa Hawa Wafanyabiashara wajanja wajanja.

na Hakuna wa kukugomea.

SIJAJUA UYU BWANA MDOGO ALIKUA ANAPAPALIKA NA NINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu DeepPond ijapokuwa umeadimika sana kwenye lile jukwaa letu. Inawezekana alishapiga hela za kutosha, hivyo ameamua kutoka kiaina kwani huko aendako uwezakano wa kupigwa panga ni mkubwa sana. Kumbuka siasa za nchi hii hazitabiriki.
 
Ndugu Paul Makonda Ukuu wa mkoa ndio ulikuwa unampendeza na kumpa mamlaka ya Nguvu kuliko huo ubunge anaouhitaji,

Japokuwa ukuu wa mkoa ni nafasi inayotegemea mteuaji ameamkaje kwa siku hiyo(haikupi uhakika kwamba utakuwa ofisini siku ya kesho) lakini kwangu Ukuu wa mkoa ilikuwa ndio nafasi pekee ya kutamba kwake ukizingatia aliweza kula vizuri na boss wake hivyo kwa vyovyote vile alikuwa na uhakika wa kuwa tena mkuu wa mkoa kwa wakati mwingine tena...

Mmelalamika sana JPM amtoe hapo alipo na imekuja ' Timing ' nzuri kweli kweli ya Kumtoa kwani hivi sasa ' Rivals ' wake wameishiwa mno Nguvu.
 
Hii nchi haiishi viroja! Mtashangaa ndio anakua Waziri Mkuu.

Lakini, atapita kweli?
 
Naunga mkono hoja,

Binafsi kua mkuu wa mkoa Kama DAR, Ni zaidi ya uwaziri na ubunge.

HILI jiji lina hela Sana hili,

Kuanzia Ela halali mpaka za kupiga dili.

Unaweza kuamka ukapata Ela yoyote, hasa kwa Hawa Wafanyabiashara wajanja wajanja.

na Hakuna wa kukugomea.

SIJAJUA UYU BWANA MDOGO ALIKUA ANAPAPALIKA NA NINI.

Sent using Jamii Forums mobile app

Alivyozoea ukuu wa mkoa, kesho asije fanya ziara ya kugawana kazi za serikali kwa CCM.
Naam, ataumiss sana huu mkoa. Asije kuta anaamkia ukuu wa wilaya😀😀😀😀
 
Mmelalamika sana JPM amtoe hapo alipo na imekuja ' Timing ' nzuri kweli kweli ya Kumtoa kwani hivi sasa ' Rivals ' wake wameishiwa mno Nguvu.

Hana rivals. Anatembea kwa raha zake. Atakachokosa sasa ni urais wa mkoa wa Dar 😀😀😀😀😀
 
Alivyozoea ukuu wa mkoa, kesho asije fanya ziara ya kugawana kazi za serikali kwa CCM.
Naam, ataumiss sana huu mkoa. Asije kuta anaamkia ukuu wa wilaya
Ndio hapo karata zake zinatakiwa ziwe vyema
 
Back
Top Bottom