Uchaguzi 2020 Ningekuwa Makonda ningesubiri mpaka 2025

Naunga mkono hoja,

Binafsi kua mkuu wa mkoa Kama DAR, Ni zaidi ya uwaziri na ubunge...
Naibu speaker ili asishitakiwe baada jiwe kutoka!! Atamuachaje? Jinai kana10 hivi kuua watu .....wamarekani wanae hilo halifutiki !!! Jinai na damu zitamuandama subiria jiwe siku litoke utaelewa
 
Makonda waziri wa Mambo ya Ndani
Gambo waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Hao hawawezi kuwa mawaziri wa hizo wizara labda Ndotoni,

Makonda labda akipita akampokee Ndugu Mwakyembe kwenye ile wizara
 
Ndugu Paul Makonda Ukuu wa mkoa ndio ulikuwa unampendeza na kumpa mamlaka ya Nguvu kuliko huo ubunge anaouhitaji,

Japokuwa ukuu wa mkoa ni nafasi inayotegemea mteuaji ameamkaje kwa siku hiyo(haikupi uhakika kwamba utakuwa ofisini siku ya kesho) lakini kwangu Ukuu wa mkoa ilikuwa ndio nafasi pekee ya kutamba kwake ukizingatia aliweza kula vizuri na boss wake hivyo kwa vyovyote vile alikuwa na uhakika wa kuwa tena mkuu wa mkoa kwa wakati mwingine tena...
Wewe umemzungumzia Makonda na faida zake binafsi akiwa mkuu wa mkoa au mbunge na hili ndilo kosa la wapiga kura wa Tanzania, tunawachagua watu ili wakajinufaishe. Binafsi sina sympathy yoyote na Makonda, nimefurahi mno kwamba ametoka na ningependa asiwepo kwenye uongozi wa aina yoyote ile.

Amefanya yasiyokubalika mengi tu na ametumika sana kukandamiza demokrasia ya watanzania. Ni watu wasio na upeo mkubwa tu ndio watamchagua kuwa kiongozi au mbunge. Samaki hujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe naamini ndicho kilichomtokea na anastahili kabisa.
 
Hatuchukulii poa ila ata akiwa waziri hawezi kuact kama alivyokuwa Mkuu wa Mkoa,

Mengi atayafanya chini ya mtu, atakuwa under control sana tofauti na alivyokuwa Mkuu wa mkoa
Unafahamu rais hutoka baraza la mawaziri kupitia ubunge wa kuchaguliwa na si kupitia u RC?
 
2025 kama huyu dikteta bado yuko madarakani huyo ndiye mgombea wake wa Urais hivyo ataendelea KUMBEBA.

Maghufuli. Hawezi kumpa nchi Makonda

Si unaona zanzibar amempa Hussein Mwinyi mtu mwenye akili Timamu?!

Akithubutu kumpa Makonda Nchi yeye mwenyewe ataanza kuisoma number akishatoka madarakani, atageukwa na Makonda kwa speed ya ajabu
 
Na hapo ndio maana mi najiuliza je hiyo karata aliyoicheza sijui kama itatiki au itageuka na kuwa majuto kwake
 
Kwani kuna mtu alijua Kikwete atampa Nchi dikteta? Unadhani kwanini hakumfukuza kazi baada ya sakata la clouds!? Na Nape ambaye alifuata sheria ndiyo akafukuzwa? Kashfa ya makonteina akapeta. Mawaziri kumuogopa Bashite huku dikteta akiwa kimya.

Bashite anajua Mazabe mengi ya dikteta na anamuogopa hivyo Urais 2025 kama bado Watanzania wengi wamezubaa ni wa bashite.

Maghufuli. Hawezi kumpa nchi Makonda

Si unaona zanzibar amempa Hussein Mwinyi mtu mwenye akili Timamu?!

Akithubutu kumpa Makonda Nchi yeye mwenyewe ataanza kuisoma number akishatoka madarakani, atageukwa na Makonda kwa speed ya ajabu
 
kama boss wake ndio kamwambia aende kugombea kigamboni je??

unaandika miparagpah miiingi, kusemea maisha ya mtu ambaye haumjui kabisa

kwa akili zako ndogo unadhani makonda kaenda kugombea kigamboni bila kuomba ushauri wa rais?????????

una akili sawasawa wewe?
Tusingekuwa tunasemea maisha ya watu basi ata hiyo Elimu uliyosomea kuhusu Maisha ya kina Dr Living stone, mwalimu Nyerere,
Kinjektile Ngwale, mkwawa ungeikataa ungeishia kitaa
 
Mbwembwe za kusuta watu na salute za kina Cro ndo zimeishia hapa. Anyway kuna maisha baada ya hapa
 
Kwani kuna mtu alijua Kikwete atampa Nchi dikteta? Unadhani kwanini hakumfukuza kazi baada ya sakata la clouds!? Na Nape ambaye alifuata sheria ndiyo akafukuzwa? Kashfa ya makonteina akapeta. Mawaziri kumuogopa Bashite huku dikteta akiwa kimya.

Bashite anajua Mazabe mengi ya dikteta na anamuogopa hivyo Urais 2025 kama bado Watanzania wengi wamezubaa ni wa bashite.

It’s not. Easy like that mkuu , unless kama wewe ni Bashite umekuja kujipigia campaign
 
Back
Top Bottom