Sikuwahi kujua kazi halisi ya Mkuu wa Mkoa na uwezo wake

Liwagu

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
5,342
6,387
Habari zenu bwana!.

Kifupi Mimi liwagu sikuwahi kujua kazi halisi ya mkuu wa mkoa na kwa mtazamo wangu sikuona haja sana ya kuwa na wakuu wa mkoa.

Lakini kwajinsi ninavyomuona mkuu wa mkoa wa Arusha P. C. Makonda anavyofanya kazi ya utumishi katika mazingira ambayo anaonyesha nguvu ya mkuu wa mkoa ilivyo katika kutumikia wananchi kwenye mkoa wake,inaanza kuleta maana.

Nijambo jema kuwa na rais anae penda watendaji wa aina ya Jeri Slaa, na Makonda.

Kuanzia maofisini mpaka mitaani, wabongo wasipo nyooshwa hawanyooki wenyewe.
Nimwendo wa dhuluma, wizi, ufisadi na dharau!.

Wakuu wa mikoa wengine vuteni soksi.

Actions speak louder than words.
 
ni jambo jema umezijua sasa :BASED:
 
Uchawa utawatesa sana
 
Hivi Makonda kafanya nini kwa Arusha hii au mimi nipo Bujumbura nini ndiyo maana sioni
1714763485686.jpg
 
Habari zenu bwana!.

Kifupi Mimi liwagu sikuwahi kujua kazi halisi ya mkuu wa mkoa na kwa mtazamo wangu sikuona haja sana ya kuwa na wakuu wa mkoa.

Lakini kwajinsi ninavyomuona mkuu wa mkoa wa Arusha P. C. Makonda anavyofanya kazi ya utumishi katika mazingira ambayo anaonyesha nguvu ya mkuu wa mkoa ilivyo katika kutumikia wananchi kwenye mkoa wake,inaanza kuleta maana.

Nijambo jema kuwa na rais anae penda watendaji wa aina ya Jeri Slaa, na Makonda.

Kuanzia maofisini mpaka mitaani, wabongo wasipo nyooshwa hawanyooki wenyewe.
Nimwendo wa dhuluma, wizi, ufisadi na dharau!.

Wakuu wa mikoa wengine vuteni soksi.

Actions speak louder than words.
Wewe ni mmoja ya watanzania wajinga kabisa. Hujui abc za uongozi na wala hujui ni kwa nini serikali ina mihimili na vyombo mbali mbali vya utekelezaji. Waziri utahuhumia mtu mmoja mmoja kwenye nchi yenye watu milioni 60 utamaliza lini wakati migogoro inazaliwa kila siku.?
 
Nilivyokuwa mdogomdogo ma brother walikuwa wakisema ccm ni mbaya nilikuwa nabishana nao sana... Siku zikasonga miaka ikaenda... Wakaja kushtuka Mimi ndo mwenyekiti wa chadema chuoni... Walinicheka sana then wakasema "tulijua tu"

Na Mimi leo nakuhakikishia ukianza kujitegemea, ukayaona maisha katika uhalisia wake, ukajua maana ya "sina hata mia" UTAHAMA MWENYEWE CCM NA KUACHANA NA UCHAWA RASMI
 
Yeye muda mwingi yupo na wadudu si awalete basi huku mtaani watusaidie kufanya usafi maana serikali ya mkoa usafi umewashinda Arusha inanuka kwa uchafu.
Stay tuned mkuu,jamaa anaonyesha matumaini.
Utakuja kumpa mauwayake hadharani ama kwa Siri moyoni mwako.

Kwa sasa anacho fanya Makonda ndicho wanacho taka wapenda haki na wanyonge kama wewe.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Nani kakuambia mimi ni mnyonge
Wanyonge ni hao wanaoichagua CCM
 
Nilivyokuwa mdogomdogo ma brother walikuwa wakisema ccm ni mbaya nilikuwa nabishana nao sana... Siku zikasonga miaka ikaenda... Wakaja kushtuka Mimi ndo mwenyekiti wa chadema chuoni... Walinicheka sana then wakasema "tulijua tu"

Na Mimi leo nakuhakikishia ukianza kujitegemea, ukayaona maisha katika uhalisia wake, ukajua maana ya "sina hata mia" UTAHAMA MWENYEWE CCM NA KUACHANA NA UCHAWA RASMI
Kwanza kamahujui, juamimi sio ccm.
Nasitaki hata kusikia huo upuuzi, kwasababu naona damage wanayo sababisha kwa maamuzi ya hovyo ambayo nikiyaorodhesha hapa naweza kutapikaa!.

Anza na bandari na ufujaji wa pesa za uma kwa matumizi ya anasa ununua wa
mav8 kwa wingi wakati wanajua shida zilizo jaa huku mitaani, ngoja niishie hapo.

Hataivyo ninaweza kuona mtumwenye nianjema angalau kwa kutamka nakuonyesha nia ya udhibiti.

Kama wewe huoni juhudi za mtu mmoja mmoja ndani ya ccm then wewe ni aidha muongo,mnafiki,ama hujui unatakanini.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom