Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,985
- 93,998
Unajua sababu ya mauti kumkuta huyo mheshimiwa mwenye RED?Kwa miaka mingi, wateule wa rais wa Muungano wakitokea Zanzibar basi kuhusu rushwa rais huwa hapati tabu.
Sijabahatika kusikia Mzanzibar ndani ya Muungano akiwa mla rushwa kama wanavyokuwa watz bara wanapoteuliwa.
Nngalikuwa Jk.ningaliangalia jambo hili kwa ukaribu zaid
1)Dk Omar Ali Juma
2)Dk Mohd Shein
3)Dk Gharib Bilali
4)Shamsi Nahodha - Mambo ya Ndani
5)Ali Ameir Mohd - Mambo ya ndani iliopita
6)Samiha Suluhu
7)Mahadhi Juma Maalim
8)Ali Seif Khatib
...
....
...
......
......
........na wengine wengi
Hivi unajua Ali Hassan Mwinyi alikamatwa hapo DIA akitoroka baada ya kutaka kuiuza nchi?
Hivi nani aliyewauzia wamanga portion ya mbuga kule Loliondo kama sio Ali Hassan Mwinyi.
Je, unamkumbuka mtu anaitwa Salmin Amour 'Komando", uozo wa kifisadi aliokuwa akifanya?
(kama ni mtoto wa kizazi cha dotcom huwezi yajua haya)