Ninawaogopa sana viumbe wa kuitwa binadamu

Kwetu virgos ni kawaida, we are overthinkers, criticizers.....tunajictriticize hata wenyewe.....huo sio ugonjwa wa kupona.....jitahidi tu kujichanganya na watu, ila kupona....nehiiišŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£
Muda wote wasiwasi.. this full moon imeanguka kwenye virgo.. shughuli nimeipatašŸ™ŒšŸ¼
 
Mimi siogopi watu ila siwezi kukaa sehemu yenye watu wengi muda mrefu
Napenda kukaa peke yangu.
Mimi zaidiā€¦ hadi nyumbani nasemwa hii tabia, kujichanganya nimeshindwa asee.. hata kwenye sherehe huwa natoroka ili tu nisikae na watu wengi na ile hali ya kuchetuka imenishindaā€¦ wenzangu wanasheherekea mie ntakua nimekaa tu nawaangalia wanavyo vibeā€¦
 
Wewe unafaa kuishi Ulaya hasa hasa nchi za Scandinavia. Huko kila mtu na nyumba yake na hata kazini hakuna wa kukuangalia sijui umevaa nini wala wa kukusemesha. Ukikutana na mfanyakazi mwenzako mitaani mnapitana kama hamjuani. Kwa upande mwingi nchi zetu za kiafrika hasa Dar kuna muingiliano wa maisha kupita na mbaya zaidi ni wa kinafiki. Hata mimi sipendi namna hiyo.
 
Nimejikuta ninawaogopa sana binadamu kutokana na visa mbalimbali nilivyowahi kupitia kwenye maisha yangu.

Asili yangu ni ukimya na utaratibu lakini kuna wakati maisha yanahitaji ujichanganye na watu mbalimbali kutokana na mifumo yetu.
Na ndicho kipindi nilichojifunza kuwa binadamu ni kiumbe hatari mno.

Ninaogopa watu, ninaogopa miunganisho mipya, hata katika mahusiano ya kimapenzi inachukua muda mno kujiunganisha na mtu kihisia.

Sina imani na kiumbe binadamu kwenye nyanja zote za kimaisha! Japokuwa haiwezekani, lakini ninatamani niishi mahali nisiyoweza kukutana na binadamu.šŸ˜”šŸ˜”šŸ˜”
Pole sana lakini utaishi maisha magumu sana ukiwaogopa wanadamu kiasi hicho. Ni kweli wanadamu ni viumbe hatari sana ila kumbuka na wewe ni hatari pia, hivyo chukua tahadhari stahiki lakini jenga mahusiano mazuri na wale unaojiridhisha kuwa ni wema. Ukweli ni kwamba wapo wanadamu wema kama malaika pia. Watafute na wafanye marafiki zako.
 
Umri ukienda unaona kila mtu anazingua ndo maana wazee huwa wanataka kukaa peke yao kwahiyo usijali ni mabadiliko ya utuuzima kuingia uzeeni
 
Wewe unafaa kuishi Ulaya hasa hasa nchi za Scandinavia. Huko kila mtu na nyumba yake na hata kazini hakuna wa kukuangalia sijui umevaa nini wala wa kukusemesha. Ukikutana na mfanyakazi mwenzako mitaani mnapitana kama hamjuani. Kwa upande mwingi nchi zetu za kiafrika hasa Dar kuna muingiliano wa maisha kupita na mbaya zaidi ni wa kinafiki. Hata mimi sipendi namna hiyo.
Ukiishi maisha hayo kwa huku kwetu unaonekana unaringa, unajiskiaā€¦ utawekewa vikwazo vingi huku wakikuambia ngoja tumuone!
 
Back
Top Bottom