Ninauhitaji wa kazi yoyote ya halali isiyohitaji vyeti

montigo

Member
Jan 27, 2021
22
63
Habari wana JF, matuamaini yangu ni wazima.

Kichwa kama kinavojieleza kwa ufupi, Nina uhitaji wa kazi yoyote ya halali isiyohitaji vyeti ili kuendesha maisha, Japo elimu yangu ni kidato cha sita(6).

Napatikana Iringa mjini, kwa yoyote mwenye connection au uhitaji wa mtu wa kufanya nae kazi basi anishike mkono.

Natanguliza shukrani
 
Jichanganye hata kwenye fundi ujenzi mkuu ina lipa hiyo kazi wengi wana idharau.
Habari wana JF, matuamaini yangu ni wazima.
Kichwa kama kinavojieleza kwa ufupi, Nina uhitaji wa kazi yoyote ya halali isiyohitaji vyeti ili kuendesha maisha, Japo elimu yangu ni kidato cha sita(6).
Napatikana Iringa mjini, kwa yoyote mwenye connection au uhitaji wa mtu wa kufanya nae kazi basi anishike mkono.
Natanguliza shukrani
 
Habari wana JF, matuamaini yangu ni wazima.
Kichwa kama kinavojieleza kwa ufupi, Nina uhitaji wa kazi yoyote ya halali isiyohitaji vyeti ili kuendesha maisha, Japo elimu yangu ni kidato cha sita(6).
Napatikana Iringa mjini, kwa yoyote mwenye connection au uhitaji wa mtu wa kufanya nae kazi basi anishike mkono.
Natanguliza shukrani
Kma una umri chin ya miaka 26 chagua kazi itakayokupa at least plan ya miaka 5 mbele. Hiyo ya saidia fundi hapana, bora uwe bodaboda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom