Natafuta kazi yoyote halali

XII Tz

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
4,293
6,957
Habari wakuu

Natafuta kazi yoyote halali, kuuza duka, kuosha magari, kubeba tofali etc. Pia nina leseni ya udereva class D.
Umri miaka 22, elimu kidato cha 6 nipo dar es salaam.

Natanguliza shukrani..
 
Ukiwa kama mtu wa masoko, utatumia mbinu gani mzigo kuisha kwa wakati? Mfano, kwa siku tunatakiwa tuuze tofali 1000+, utatumia mbinu gani ili hili lengo litimie?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom