Ninatarajia kuanza kujifunza 3D. Ni software gani inafaa na inatumika zaidi kwa matumizi ya kiofisi na kibiashara?

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
1,219
1,786
Salaam brothers and sisters,

Ni jambo ambalo nimekuwa nikilipanga muda mrefu kuhusu kuanza 3D, lakini softwares ni nyingi, na nilitamani kujua ipi inafaa zaidi na itakuwa rahisi kutumia assets nitakazokuwa natengeneza kwa Adobe AfterEffects?!

Natanguliza shukrani.
 
Hapo umeshajifunga kwenye Cinema 4D mkuu, Goodluck full integration na Adobe After effects tena hiyo AE inakujaga na builtin na Cinema 4D lite.
 
Chapa blender mzee. Kuhusu assets ulizokuwa nazo unaweza kuzitumia kwenye blender na after effects, ni wewe tu kujitengenezea workflow nzuri. Blender ni free na community yake ni kubwa kuliko ya cinema 4d, kwahiyo itakuwa rahisi kwako kujifunza 3d kwa blender kuliko cinema 4d
 
Back
Top Bottom