Habarini Wadau wote humu. Naombeni msaada nahitaji kujua simu yenye kamera inayotoa picha Bora zaidi kwa matumizi ya kibiashara. Picha inayoonesha uhalisia wa kitu na mazingira. Ili wateja wakiona picha ya bidhaa na uhalisia uwe hivyo hivyo bila kupoteza ubora.
Nahitaji kwa haraka. Gharama zozote lakini value for money. Maana Kuna mtu aliwahi tuelekeza tununue Oppo zile walikuwa wanauza Vodacom, nililinunua sh 800,000 au 900,000/= lakini picha zake ni tofauti kabisa na viwango vya uwezo wa kamera ulioandikwa kwenye specifications zake, poor quality na si halisi.
Baada ya kuitumia kwa miezi michache ndio imekuwa na picha mbaya zaidi, ni mara elfu 10 picha za Infinix ni nzuri.
Tafadhari wadau. Natanguliza shukrani.