Ninataka nimuache msichana kwa faida ya maisha yake

Miaka 8 nyuma nilifanya kama wewe, kweli yule binti aliolewa na anawatoto wawili na familia yake sasaivi. Mimi ndio naanza kufikiria ama kutafuta kuanza nae life ile serious
 
Nimeshangaa namna unavyojidisqualify, "ooh mara sistahili kuwa na huyu mwanamke ni mzuri sana" unaonekana hujiamini na mwanamke atakuacha kwa sababu hiyo. Mwanamke anabidi akusaidie wewe kufikia malengo yako sio akukimbie kipindi unatafuta. Wanaume wengi mna tabia ya kuogopa wanawake kama miungu, You treat women like Goddesses wakati uhalisia wa maisha mnauelewa, that's weakness.
For sure ni weakness ...na inapunguza credit kwa asilimia kubwa

Mtoa mada kwa akili yake anafikir akifanya hvyo huyo mwanamke atamuona jamaa ni mwema sana....lakini kumbe ataonekana Bonge la fala
 
Naona unapiga teke bakuli la dhahabu hivi hivi. Ufunguo wamaisha yako anao huyo msichana, Pambana,mfunge ndoa, Utatushukuru baadae. Kukata tamaa ni dhambi. Na ukizubaa anaenda kweli huyo
Na kibaya zaidi ashasema na Mungu juu ya kumuoa
 
Nimesoma vema ushauri wa watu wote humu
nawashukuru kwa mawazo yenu, sijakasirishwa na wazo la mtu yoyote unapoomba ushauri lazima utegemee chochote na kuruhusu mawazo ya wachangiaji.
Nawapenda nyote. Nitafanya maamuzi. Nitawarejea wakuu.
Nawapenda wote.
 
Nimeshangaa namna unavyojidisqualify, "ooh mara sistahili kuwa na huyu mwanamke ni mzuri sana" unaonekana hujiamini na mwanamke atakuacha kwa sababu hiyo. Mwanamke anabidi akusaidie wewe kufikia malengo yako sio akukimbie kipindi unatafuta. Wanaume wengi mna tabia ya kuogopa wanawake kama miungu, You treat women like Goddesses wakati uhalisia wa maisha mnauelewa, that's weakness.
Kuna jambo nimejifunza hapa 🤔
 
Mabinti wengi huwa hawakubal inapotokea inshu kama hii

Cha ajabu baadae mkishaoana mambo yakiwa magumu anaanza kelele,Ooh! mwanaume gani hujitumi mara sjui ulinibania bahati zangu ningeolewa na wanaume wazuri na bla bla nying kama hz
 
Nalo kweli pia. Ni mtihani kwa kweli. Hii niliona kwa jamaa fulani msomali mpaka kesho wanaishi mradi tu ila mwanadada visirani kila uchawao.
 
Hua nashangaa kuona binadamu tunavyopitia uzoefu unaofanana kiasi hiki!

Okey mi pia imewai n kuta, nikamueleza kama ulivyo fanya akanigomea pia, akadai atanivumilia mpaka kitakapo elewaka.

Nikaona poa, ofcoz ikanitia moyo sana nikasema mke ndo huyu, nikapambana sana kadri nilivyo weza, vyeti nikaweka kapuni nikaanza kudeal na maisha kimtaa, Kila kibarua nimo parangana huku na huku.Mungu si Athuman unafuu ukaanza kuja ingawa kwa mwendo wa kobe. Lakn hakunikatia tamaa aliendelea kunitia moyo na wakati mwingine nikikwama kabsa ananipiga tafu nn mambo yanaenda,

bwana eeh! Sijui nn kilitokea nastukia siku hiyo tukiwa tuna chat from no where naulizwa "ikitokea hatujaona utajiskiaje? mara unakumbuka uliniambia niolewa hivi uliwazaga nn" nikamuuliza kuna nn mbona sielewi akanijbu hamna kitu, sema anashangaa siku hizi anaota sana ndoa lakn huyo anae muota ana muoa sio Mimi. Ilintafakarisha kidogo lakn sikutilia maanani sana kwasababu sikuona Kama amebadilika kwa namna yoyote ile ( mapenzi yetu nilikua naona yako vile vile tu yamechanua) so nikamjibu simple tu kwamba n wasiwasi wake tu mmewe ndo mm yakaisha. Haikuisha wiki ndo nakuja pata taarifa manzi kumbe kashachumbiwa siku nyingi naapo zina hesabika tu siku afunge ndoa, duuh ndugu nilipagawa ile siku, ila ndo hvo ntafanyaje ukizangatia m mwenyewe nilishawai msisitiza aolewe ikabidi tu nipambane na hali yangu.

Imenishangaza naww unapitia hali kama hio, nakushaur usi force akuache, muache akuache mwenyewe kama ataona hawez kukuvumilia, chamsing we pambana kichwan ukijua lolote linaweza tokea, acha mambo ya flow yenyewe, huwezi kujua.
 
Mkuu mimi mwenyewe kujitunza bado ni mtihani. Kumhudumia ni kama bahati nasibu.
Kiufupi uwezo wa kumuoa sina mkuu na sioni hata dalili za kuwa na huo uwezo.
Kama umeshidwa kufanikiwa mwenyewe unganisha nguvu huyo binti usimwache
 
Hua nashangaa kuona binadamu tunavyopitia uzoefu unaofanana kiasi hiki!

Okey mi pia imewai n kuta, nikamueleza kama ulivyo fanya akanigomea pia, akadai atanivumilia mpaka kitakapo elewaka.

Nikaona poa, ofcoz ikanitia moyo sana nikasema mke ndo huyu, nikapambana sana kadri nilivyo weza, vyeti nikaweka kapuni nikaanza kudeal na maisha kimtaa, Kila kibarua nimo parangana huku na huku.Mungu si Athuman unafuu ukaanza kuja ingawa kwa mwendo wa kobe. Lakn hakunikatia tamaa aliendelea kunitia moyo na wakati mwingine nikikwama kabsa ananipiga tafu nn mambo yanaenda,

bwana eeh! Sijui nn kilitokea nastukia siku hiyo tukiwa tuna chat from no where naulizwa "ikitokea hatujaona utajiskiaje? mara unakumbuka uliniambia niolewa hivi uliwazaga nn" nikamuuliza kuna nn mbona sielewi akanijbu hamna kitu, sema anashangaa siku hizi anaota sana ndoa lakn huyo anae muota ana muoa sio Mimi. Ilintafakarisha kidogo lakn sikutilia maanani sana kwasababu sikuona Kama amebadilika kwa namna yoyote ile ( mapenzi yetu nilikua naona yako vile vile tu yamechanua) so nikamjibu simple tu kwamba n wasiwasi wake tu mmewe ndo mm yakaisha. Haikuisha wiki ndo nakuja pata taarifa manzi kumbe kashachumbiwa siku nyingi naapo zina hesabika tu siku afunge ndoa, duuh ndugu nilipagawa ile siku, ila ndo hvo ntafanyaje ukizangatia m mwenyewe nilishawai msisitiza aolewe ikabidi tu nipambane na hali yangu.

Imenishangaza naww unapitia hali kama hio, nakushaur usi force akuache, muache akuache mwenyewe kama ataona hawez kukuvumilia, chamsing we pambana kichwan ukijua lolote linaweza tokea, acha mambo ya flow yenyewe, huwezi kujua.
Nashukuru muno hii ya kwako ndio the best comment. Nalichukua kama lilivyo.
 
Una wazo zuri sawa, lakini kwa upande wa mwanamke yeye hudhani humpendi, kwasababu hulka ya wanawake huangalia leo zaidi kuliko kesho au keshokutwa ndio maana mapenzi inawagharimu wanawake zaidi kuliko mwanaume. Hawapendi kufikiria mustakabali wa maisha ya kesho. Wanaamini mwanaume maisha anayaweza tu hata km hana kazi wala fedha kwa wakati huu.
Kama vile umeongea ukweli master
 
Back
Top Bottom