Asante sana kwa elimu nzuri. Mimi sikuleta tangazo kwa mzaha. Niko serious kama MTU mzima.we Nawe uwe serious, we na tu miaka twako 23 huoni kuwa huyu ni mzazi wako?? sio lazima u comment kila post and BTW huku sio Facebook Wala insta. kuwa na adabu kidogo,ukiniletea za kuleta ntakutafuta
Nitumie nauli nije huko In box baby..!Nije inbox kufanya nini? Wewe njoo inbox kama una vigezo.
vigezo ganNije inbox kufanya nini? Wewe njoo inbox kama una vigezo.
Sihongi au kutoa rushwa au donge nono kupata mume. Kama wa kwangu yupo Mungu ameniandikia atakuja tu bila kuhonga kwa jinsi ya namna yoyote ile. Asante sana kwa moyo wako wa kunisaidia ila si kwa njia unayofikiria.niahidi donge nono mi nikutafutie,kwani wanawake wenye matatizo kama yako nmewatafutia wenza and now they are happy with their family! Ntakuunganisha na mwanaume na hutojutia kuonana naye! pm krbu sista angu.
Akupe donge nono ili iweje? Kwa hiyo unamuuzia huyo mwanaume?niahidi donge nono mi nikutafutie,kwani wanawake wenye matatizo kama yako nmewatafutia wenza and now they are happy with their family! Ntakuunganisha na mwanaume na hutojutia kuonana naye! pm krbu sista angu.
UnajidanganyaKutafuta mwanamke au mwanaume kwnye mtandao ni kuishiwa swaga.bora uendeubungo ukamate hata teja uweke ndani
Unajidanganya kwa hili. Kila mtu ana mahali ambapo amekutana na mke au mume wake. Hata hapa mtandaoni unaweza kumpata mke au mume. Jua kuna watu wamepigika sana katika mahusiano na wakikutana na fursa kama hii wanachangamkia. Kwanza angalia views za hii post ya huyu dada na post. I can imagine huko PM ziko ngapi.Kutafuta mwanamke au mwanaume kwnye mtandao ni kuishiwa swaga.bora uendeubungo ukamate hata teja uweke ndani
KKutafuta mwanamke au mwanaume kwnye mtandao ni kuishiwa swaga.bora uendeubungo ukamate hata teja uweke ndani
Mume /mke anapatikana popoteKwann utafute mume wa mtandaoniiiii
Ukweli ni kazi ngumu sana. Matapeli ni wengi na wanafiki pia. Ila kwangu waligonga mwamba. Ningekuwa ninatafuta waume za watu au wale wanaume wanaotaka kulelewa na wanawake ungekuta ninao wengi sana ila kwa kuwa nilikuwa makini sana niliweza kugundua uongo mwingi sana. Tena waogope sana wale ambao wanajifanya ni wacha Mungu. Ni eneo la kuficha uongo tu. Nilitumia mbinu kubwa sana kuwanasa wengine na uongo wao. Kwa hiyo kwa sasa niko na mambo yangu zaidi kimaisha.Dada Loeli tupe mrejesho umeshampata Shemeji?