Ninatafuta kijana mwenye ujuzi wa electronics

wabuyaga

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,681
588
Wakuu ningependa kupata kijani ambaye ana ufundi wa electronics.
Awe amemaliza form 4 au kama si hivyo awe anajua kiingereza.
wasiliana nami: wabuyaga58@gmail.com

Note: Awe anaishi sehemu za Bukoba au Muleba kwani shughuli zitakuwa katika maeneo hayo.
 
kumaliza form four sio kujua kiingereza ungelekebisha

kumaliza form four sio kujua kiingereza ungelekebisha (red)
au sema sifa moja kat ya hzo
 
Ninashukuru kwa kuliona hilo. Ninakubaliana na wewe. Asante sana Mkuu!
 
Back
Top Bottom