Ninaomba uzoefu kwa hili!

Mimi ni binti wa miaka 27, sijawahi kutembea na mwanaume, i have now got a man, ambaye naona we can make a family na tunategemea kufunga harusi mwakani, ila nimegundua kwamba hata huyu mwanaume hana uzoefu na inaezekana ajatembea na mwanamke bado! lakini wote tunasubiri mpaka tufunge ndoa.. Will it be simple if wote mkiwa hamna uzoefu kabisa?
inategemea simplicity katika nini, kuvumilia hadi mwakani au namna ya kuianza hiyo kazi?
 
kaangalie picha za X lakini siyo zile za ma black American zipo zinazofundisha jinsi ya ku duuu.

Atafute Movie inaitwa 'KAMASUTRA' ni darasa tosha...Ila jamaa kuwa bikra napata doubt, ina maana hata kwa sabuni haijatoka!? Ka ndo hvy jamaa sio mzima h
 
Tukiacha maswala ya imani pembeni dada ni riski kuolewa na mwanaume bikra though ni dili kuoa mwanamke bikra. What if ana kibamia ndio kimemfanya aogope wanawake? Utavunja ndoa? What if aisimami? What if ni shoga? Kuna dada alimkimbia mume siku ya kwanza ya honeymoon na si simulizi I know the man ni very handsome.

Mwanaume bikra lazima bidada uweke alama ya kujiuliza.:A S-coffee:
 
Pole sana mdogo wangu,make maumivu atakayopata Mungu ndio anajua!inabidi uutumie lubricant gel mpendwa ili maumivu yapunguwe siku hiyo
 
Back
Top Bottom