Ninamumivu ya SHINGO toka kwenye kisogo hadi juu ya mgongo( mabega) kwa miaka 10 sasa niugonjwa gan?

Mdau Makini

Member
Sep 18, 2012
70
10
Naomba msaada wenu wa mawazo, nina maumivu ya Shingo kwa muda wa Miaka kumi hivi tokea kisogoni,shingo(misuli) mpaka mgongoni kati kati ya Mabega.Ambapo nikijaribu kunyosha shingo misuli ikikaza inatoa mlio kama mtu akiwa ananyosha vidole vile!,pia hata kwa upande wa mgongo.Pia napata maumivu sana wakati wa kusomaau kufikiri kitu fulani kwa kiina!.Nimetumia madawa mengi na kwenda hospitali kibao napewa Dawa japo tatizo liko pale pale!!.Samahani naomba kama kuna mwenye uelewa/lishawahi kumpata akalitibu/Dakatari/mshauri anisaidie naweza kulicontrol vipi??.
 
Pole sana mkuu.@Mdau Makin ningekushauri umpate mtaalamu wa kupiga chuku hijama cupping Therapy akupige hiyo chuku hijama baina ya mabega mawili upo mji gani wewe . kwa kupiga hiyo hijama itakusaidia kuondosha maradhi jaribu kisha unipe Feedback.

 
Last edited by a moderator:
Naamini matatizo hayo yanasababishwa maambukizi kwenye damu au huenda umetumia/misuse antibiotics kwa muda mrefu.

1. fanya culture and senstivity test ya urine na blood-na kama zote ni negative fanya yafuatayo
2. Anza kunya maji safi au maji ya madafu kwa wingi kila siku na fanya mazoezi ya kutembea au kukimbilia angalau kila siku
3. Kula chakula chenye fibre kwa wingi i na epuka nyama, mziwa na vyakula vilivyokobolewa
4. Kula chakula cha usiku mapema na kiwe kisiwe kingi ( kabla ya saa 1 usiku)
5. Jifunze jinsi ya kutawala stress
 
Am in Dar sir!@Mzizimkavu
Ok mkuu Mdau Makini Tafuta Wataalam wakupiga Hiyo chuku au kwa jina lingine inaitwa Hijama au kwa lugah ya kiingerezani inaitwa Cupping Therapy itakusaidia sana ina faida nyingi hiyo Tiba mojawapo ni hizi hapa chini:

Disease treated by Cupping Therapy




• Common cold and cough


• Headaches including migraine


• Breathing difficulties (asthma)


• Diarrhea and constipation


• Tonsillitis and sore throat


• Stomach ache and heart burn


• Hand, leg, neck and back pain


• Neuralgia (nerve pain)


• Athletes foot


• Skin problems including pimples, oily skin, itch, dermatitis, liver spots


• Chills at fingers and toes


• Eye problems – myopia, early cataract, conjunctivitis


• Alopecia (losing hair)


• Allergy


• Menstrual pain (endometriosis)


• Leucorrhoea (whitish/yellowish discharge due to infection)


• Infertility


• Urinary incontinence


• Hypertension (high blood pressure)


• Hypotension (low blood pressure)


• Angina pectoris (heart pain)


• Periodontal (gum) disease


• Hemorrhoid (piles)


• Osteoarthritis and gout


• Diabetes


• Kidney malfunction (pre-dialysis)


• Liver problem (hepatitis and fatty liver)


• Losing memory and dementia (Alzheimer)


• Stroke


Headaches

Jaribu kutumia Dawa yangu kisha Uje unipe Feedback.
 
Hiyo inaoneka ikafaa saana mkuuu, sasa sija elewa hiyo inafanywa Mahospitalini?? Au inakuwaje mkuu@mzizi mkavu
 
Hiyo inaoneka ikafaa saana mkuuu, sasa sija elewa hiyo inafanywa Mahospitalini?? Au inakuwaje mkuu@mzizi mkavu
Mkuu.@Mdau Makin Sijuwi huko kwetu kama ipo

Mahospitalini lakini nijuavyo mimi huko nyumbani wanayofanya hii Dawa ya chuku Hijama ni Waganga wa

kienyeji haswa Waganga wa miji ya Pwani kama Dar,Tanga,Zanzibar tena wao hutumia chuku ya Pembe ya

ya mbuzi.mimi huku nilipo zipo Sehemu wanapiga hiyo chuku kutoa Damu chafu mwilini mimi nimeshafanya

huku na nipo poa kabisa kiafya ninamshukuru Mwenyeezi Mungu ukifanya hiyo dawa utaona mabadiliko yake

na utakuja kunipa Feedback wewe mwenyewe. Wewe jaribu kuwaulizia Ma Sheikh wa kiislam huenda wakakufahamisha ni wapi wanapopiga chuku hijama.Mimi ningelikuwepo hapo Dar ningekupiga mimi Mwenyewe ni mtaalam wa hiyo chuku kupiga Hijama lakini sipo Tanzania bahati mbaya mkuu.
 
Ahsante sana mkuuuu nashukuru sana kwa ushauri wako na nitajitahidi kuulizia kwanza huku kama ipo au la?..it seems u're good Doctor, i appriciate!@mzizi mkavu
 
Naamini matatizo hayo yanasababishwa maambukizi kwenye damu au huenda umetumia/misuse antibiotics kwa muda mrefu.

1. fanya culture and senstivity test ya urine na blood-na kama zote ni negative fanya yafuatayo
2. Anza kunya maji safi au maji ya madafu kwa wingi kila siku na fanya mazoezi ya kutembea au kukimbilia angalau kila siku
3. Kula chakula chenye fibre kwa wingi i na epuka nyama, mziwa na vyakula vilivyokobolewa
4. Kula chakula cha usiku mapema na kiwe kisiwe kingi ( kabla ya saa 1 usiku)
5. Jifunze jinsi ya kutawala stress
Mkuu Stress inahusika vipi na Maumivu ya Mgongo?
 
Back
Top Bottom