Mi simu yangu ni nokia 5800, nahitaji biblia ya kiswahili na kamusi. Nitazipata wapi? Thanx in advance, Chief.
Jaribu kusearch ovi kaka ila sjawahi skia kamusi ila nimeona english to swahili na swahili to english dictionary
Link ya ovi http://ovi.mobi