Nina watoto, sina nyumba na sina mke

Baba Kizibo watoto watakuwa vifuniko kabisa..hivi watu wa ccm ugonjwa wa akili huwa mnarithi kwa nani
 
Daahh yaani tangu Max akamatwe watu wanapost vitu hata havieleweki sasa nini hiki sasa tutaomba kwenye sheria mpya waongeze watu wote kama hawa ndani na hakuna dhamana
 
Hakuna mtu anaenishangaza kama atangazae bila kuona aibu kuwa ana maadui! Hii mm naona kama si sifa nzuri na inaonesha mtu kushindwa kuishi vyema na wenzake.

Hata wakitokea, binafsi sitawaona kuwa ni maadui wala sitajitangazia uadui nao kabisaaa. Bora useme wapinzani, maadui?
 
Daaah mtu mzima hana cha kufanya....sasa hayo mambo yote unamwambia nani na ili iweje? Ficha ujinga wako hata kwa 2% utaonekana bora....usiwe kama watoto wa kike kila siku unalalamika tu....

Mimi napenda uwazi kama SERIKALI ile ya miaka ile ya Uwazi na Ukweli. Mungu anapenda MTU mkweli.
 
Hakuna mtu anaenishangaza kama atangazae bila kuona aibu kuwa ana maadui! Hii mm naona kama si sifa nzuri na inaonesha mtu kushindwa kuishi vyema na wenzake.

Hata wakitokea, binafsi sitawaona kuwa ni maadui wala sitajitangazia uadui nao kabisaaa. Bora useme wapinzani, maadui?

Watashindana lakini hawatashinda.
 
Mimi napenda uwazi kama SERIKALI ile ya miaka ile ya Uwazi na Ukweli. Mungu anapenda MTU mkweli.
Angalia uwazi wako unauweka wapi kijana.....huu uwazi uweke kwenye familia yako na sio unasambaza habari kila sehemu, unajishushia heshima, fikiria kila mtu kwa sasa akiona umeandika kitu anawaza kucheka tu maana anajua alieandika yupoje, jitahidi rudisha heshima kama baba wa watoto wanne na sio mvulana wa mtaani.....tumia elimu yako kunyumbua vitu na sio kulia kila mara mtandaoni, au ndio hulka yako kuonekana "HAMNAMO"
 
Utafiti unaonyesha kuwa wale waliowahi kusomea upadri na kisha wakafikia hatua ya kuwa mafrate au ushemasi ama wakawa mapadri na kisha kuasi ama kufukuzwa maisha yao huwa yanakuwa ya ajabu sana!
 
Utafiti unaonyesha kuwa wale waliowahi kusomea upadri na kisha wakafikia hatua ya kuwa mafrate au ushemasi ama wakawa mapadri na kisha kuasi ama kufukuzwa maisha yao huwa yanakuwa ya ajabu sana!

Mbona Slaa anaishi maisha mazuri tu.
 
Deo hawa hawajatulia vipi nlangali uliwaharibu wengine ujanani?
Unataka yupi alotulia angali wewe hujatulia?
Watoto wakirithi kwa wajomba watakuwa vichaa... Ulikuwa unazaa na vichaa.
Mtoto 1....wa 2....wa.3....bado tu.?
Kama wewe unatafta bikra halafu ulizalisha 3 je ambao hujazalisha ulotembea nao tuu.... Halafu unataka bikra jee hao wataolewa na nani?
We ni mtu mzima bro jitambue

Hawajatulia, bado wanataka kuruka ruka na sio kuolewa.
 
Watashindana lakini hawatashinda.
Hapana hata usiwaone kuwa ni maadui zako, hata kwa kauli hii tu inaonesha we ni mshari. We unapenda kushindana kiuadui kweli? Nahisi dunia ilishatoka huko zamani sana.

Hata watoto utawarithisha tabia za kupenda bifu tu. Duniani tuko na muda mfupi sana wa kuishi, na yakuyatimiza ni mengi sana, unaupata wapi muda wa kujengeana bifu na mtu.

Mi mwenzako hata unipge, utakapiniachia ndo bifu limeisha hapo labda nikukwepe tu kwa kuogopa kupigwa tena. Lakini bifu sijui nikuchukie never.
 
Mbona Slaa anaishi maisha mazuri tu.
Ingekuwa hivyo asingesema yupo hatarini!
Alishajenga..?
Ana familia yenye watoto..?
..halafu Slaa hawezi kuwa sample, asilimia kubwa yaani watu wa aina hii kiukweli hawaeleweki mambo yao, sijui ni laana!!
 
Back
Top Bottom